Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Je wale viherehere waliofungua kesi nani atawalipia gharama zake endapo CCM watawaruka?

hawakujua kama mwanasheria TINDU LISU kama angeshiriki, majaji wamejua mapema hili, acha bwana hapa kimongoro hapa lisu utapona watapona hapo? Heri Dk.Slaa aingie ikulu kuliko lisu angie bungeni from JK wa angani
 
I hope mahakama ya rufaa itatumia maneno makali juu ya mahakama kuu kumvua ubunge mtu kwa maneno yasiyothibitika

Nafikiri kungekuwa na utaratibu wa kupitia hizi jukumu za mahakama kuu hata ikiwezekana majaji kuhojiwa kwani kwa mtu mwente uelewa na sheria japo ya Diploma hukumu ya jaji huyo ilikuwa ni Rabbish.
 
I hope mahakama ya rufaa itatumia maneno makali juu ya mahakama kuu kumvua ubunge mtu kwa maneno yasiyothibitika

DSC00031.JPG


Hawa ndo walio fungua kesi wajomba zake Ritz, Rejao, zomba, chama, @HKigwangala
 
Niko Arusha sasa tunaelekea ofisi za CDM Mkoa ntakujuzeni ratiba ya kumpokea Lema ikoje kifupi ni hivi ambao hamko Arusha mtapitwa mengi
 
Moja siku ya heshima ktk kupigania haki na kuendeleza harakati za kutafuta Tanzania tunayoitaka ni leo,dhuluma haiwezi kutamalaki mbele ya haki
 
There are currently 2583 users browsing this thread. (1120 members and 1463 guests)

Katika hawa sijamuona Ritz, Zomba, Rejao et al....Naamini watakuwa wanapumulia Oxygen!!!! Haki ya mtu haiibiwi ila inacheleweshwa tu!!! Sasa kalipeni gharama za kesi!!! Kamlipeni arrears zake zote bungeni, tena ningekuwa Lema ningefungua kesi ya madai kwa kumkosesha muda wa kutumikia wananchi na aweke hasara ya mipango yake ya muda na pesa tangu aliposimamishwa!!!

Viva Lema, Viva CDM, Viva Wanaarusha kwa uvumilivu mliokuwa nao. Hongera wote walioshiriki mahakamani leo kwa amani iliyokuwepo!!! Who says CDM are responsible kwa fujo??? They are not!! Green Guards and Polissm are!!!

Again, congrats Lema. Ngoja nipate time nianze pitia post one after another just to enjoy my weekend!
 
:majani7:Leo nimekubal haki ya mutu haidhulumiwi hata kidogo! :target:
"In GOD We Trust"
 
There are currently 2778 users browsing this thread. (1152 members and 1626 guests)

Mungu ni Mkubwa Tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu(dogo janja).

Hongera sana Chadema,Tundu Lisu Juuuuuuu,

PIPOZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Niko Arusha sasa tunaelekea ofisi za CDM Mkoa ntakujuzeni ratiba ya kumpokea Lema ikoje kifupi ni hivi ambao hamko Arusha mtapitwa mengi

Ngongo apatwa na kiwewe.....Crashwise azimia kwa raha, akimbizwa ofisi ya CDM kwa matibabu zaidi,
 
Back
Top Bottom