Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

hongera kamanda Lema ,hongera CHADEMA, hongera wana arusha....poleni PM7😕
 
Niko Arusha sasa tunaelekea ofisi za CDM Mkoa ntakujuzeni ratiba ya kumpokea Lema ikoje kifupi ni hivi ambao hamko Arusha mtapitwa mengi

Mkuu tutapitwa na Mengi sasa ulitaka watu wote tuishi A.town?
 
vurugu kurejea arusha mda si mrefu
Vurugu ya kwanza itakuwa ni kuwaondoa wale akina mama wanaoteseka pale NMC , jua lao, mvua yao, tope lao, vumbi lao!

umati-mboye.jpg
 
At last the law in tanzania rules after a long ham and haw. Viva lema! Viva chadema.
 
There are currently 3296 users browsing this thread. (1315 members and 1981 guests)

Leo kasheshe jamani!
 
Ndugu wanajamii naomba kuchukua nafasi hii kusema kwamba huu ni mwanzo mzuri kwa jaji mkuu mpya bwana chande. Asimamie haki hakika asiyumbishwe na wajiri wake magamba.
 
Hongera sana Lema...sasa tuijenge Arusha yetu..tuwapunguzie ya kusema ifikapo 2015, wakati wenyewe ndio wamechelewesha maendeleo kwa hizi harakati zao za uhuni-uhuni....!!

Nguvu ya umma......!!!!

Peopleeesssssssssssssss !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kamanda hebu tafadhali tuwekee in bullet points maendeleo ambayo Mh Lema ameleta Arusha tangu achaguliwe ili furaha yetu izidi kuwa kubwa.

Peoplessssssss!!!!!!!!!!!
 
Jana Mwigulu nchemba alikuwa analalamika oooh Marekani walimaliza uchaguzi juzi tu na kampeni zaikaisha. sisi tulimaliza uchaguzi 2010 lakini wenzetu CDM wako kwenye kampeni bado!!!!!! Hili la ushindi wa Lema mim siichukulii kirahisi...Hawa CCM Mafisadi wameshaona madhara makubwa ya M4C yanayoratibiwa na Jembe Lema...Huu ni mwendelezo wa kuipunguzia nguvu M4C...
 
Back
Top Bottom