Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Tuliwapinga makaburu siyo kwa sababu ya rangi yao, kabila lao au chama chao. Ubaya wao ulitokana na vitendo vyao dhidi ya raia weusi wa Afrika.
Ni wapumbavu wa kupindukia tu wanaoshabikia ukaburu katika nchi yetu Tanzania.
Wahusika wa kulipua mabomu Arusha washughulikiwe mmoja mmoja badala ya kutuhumu kundi au taasisi hata kama walitumwa! Hii itakuwa fundisho kwa wengine wenye mawazo kama yao.

Naitapendeza jambo hilo likafanyika ndani ya wakati sahii pasipo kulichelewesha wala kumpendelea mtu.
 
Waliouwawa Soweto hawana ndugu, ila Haya ya Dr. Mvungi na Nchimbi ndio yenye ndugu sio?

Hayo maneno mwambie Godbless Lema anayesubiri tume ya rais wakati ushahidi wa kuwafikisha mahakamani watuhumiwa anao.
 
LEMA hana DVD wala mfano wa DVD, Tayari angesha duplicate na kuanza kuuza siku nyingi. Kama zile za maandamano na mauaji Arusha, alizidurufu na kuziuza mwenyewe hii angeshindwaje? Huu ni muendelezo wa siasa zake za Kitoto.

sasa mnaogopa nini kuunda tume huru ya kijaji, ili mumuumbue..tumieni akili siyo unabwata tu..
 
kuna watu wakisikia Gobless Lema masabuli yana wawasha..

Umekosea....sio ma------...ni vice versa yake........cheki na jamaa wa kisongo prison wakufafanulie....walikaa na jamaa muda wa kutosha tu mbona.........
 
Si huwa ana penda kuropoka? Atuoneshe bhasi huo mkanda.

Kwa nini Godbless J Lema na chadema leo wanataka kuonesha wanaini mahakama ambazo majugde wanateuliwa na mh raisi?
Kwa nini asituoneshe sisi wananchi?kwani kituonesha kutazuia vipi tume ya mahakma kufanya kazi?

Ifike wakati watu watende wanayo ya ubiri?kama lema kweli si muoga mbona atuoneshi huo mkanda?

Ni wazi chadema hawana huo mkanda na lema ajui hilo.
 
Last edited by a moderator:
LEMA hana DVD wala mfano wa DVD, Tayari angesha duplicate na kuanza kuuza siku nyingi. Kama zile za maandamano na mauaji Arusha, alizidurufu na kuziuza mwenyewe hii angeshindwaje? Huu ni muendelezo wa siasa zake za Kitoto.

Sasa kwanini Raisi anapata kigugumizi kuunda hiyo tume huru ya majaji?

Pili Rais angeunda hiyo tume na kama kweli Chadema hawana huo ushaidi, huoni ingekuwa ni sababu tosha ya kuiangamiza Chadema ambayo inawanyima usingizi cmm na vibaraka wake?
 
kuna watu nawakubali sana wakikomaa kwenye hoja huwa hawababaiki, huyu ni Lema na Mbilinyi. nachoamini hawa jamaa wanatulizwa na kamati ya chama tu.
 
Hapo sasa ndo naona sarakasi za chadema lipyoto,ule mkanda mbona awauleti adharani,ili tuungane kupigania haki

Hawa ni wasanii tu. Kila siku wanalalamika kwamba serikali inaunda tume kushughulikia mambo mbalimbali. Lakini kwenye hili wao ndio wanaomba tume iundwe.

Sasa zile tume walizokuwa wanalalamika zikiundwa walikuwa wanalalamikia nini kama wanajua umuhimu wa tume?!!!
 
Hayo maneno mwambie Godbless Lema anayesubiri tume ya rais wakati ushahidi wa kuwafikisha mahakamani watuhumiwa anao.

Mbona kama vile zimekufyetuka vile, nakuuliza juu ya ulichokiandika alafu unajibu Lema Lema, Inaonyesha huyu Lema anawasumbua sana mpaka mnachanganyikiwa.
 
Sasa kwanini Raisi anapata kigugumizi kuunda hiyo tume huru ya majaji?

Pili Rais angeunda hiyo tume na kama kweli Chadema hawana huo ushaidi, huoni ingekuwa ni sababu tosha ya kuiangamiza Chadema ambayo inawanyima usingizi cmm na vibaraka wake?
Rais haongozwi na matakwa Yenu ana vyombo ameviweka na anaviamni mnataka peleken hamtaki mnaacha , sio kuleta ngonjera hapa. watanzania wa sasa hawataki ngonjera siwe za ma ccm au macdm
 
kuna watu nawakubali sana wakikomaa kwenye hoja huwa hawababaiki, huyu ni Lema na Mbilinyi. nachoamini hawa jamaa wanatulizwa na kamati ya chama tu.

Ndio ujasiri wenyewe huo.
 
Muungwana chitambikwa...wenye akili tunajua...nani aliyemnyamzisha Dr....lengo ni kuivuruga Tume ya Warioba...Dr. akiwa ni msomi aliyebobea kwenye sheria hasa KATIBA...alikuwa nguzo ya Tume. Tunajua Tume imeyumbishwa sana na kuondoka kwa Dr...

Wenye akili tunajua Mipango yao ya kuvuruga mchakato wa KATIBA ili waendelee kubaki madarakani.

Wakiitwa wenye akil na ww utatoka mbele?ebu achen kujiba sifa zisizokuwa zenu,ungekuwa na akil ungeish maisha hayo ulionayo?ona aibu bas nawww wenye akil wapo ofisin huko busy wanapanga mipango sio ww unaganga njaaa na mawazo yako mgando hayo
 
lema hana dvd wala mfano wa dvd, tayari angesha duplicate na kuanza kuuza siku nyingi. Kama zile za maandamano na mauaji arusha, alizidurufu na kuziuza mwenyewe hii angeshindwaje? Huu ni muendelezo wa siasa zake za kitoto.

kweli kabisa hiyo so called mkanda wa soweto haupo kila mtu anajua wazi vijana wa chadema,lema na chadema yenyewe hawajui kutunza siri na wange kuwa nayo hakika ingeshavuja kabisa.

Wana waita wenzao waoga kumbe wao ndio waoga, kila leo wanapiga kelele na mkanda na wakitoka hapo mbowe,lissu na slaa wanaenda kunywa chai ikulu.

Na katika hili ndio watanzania wajue kuwa chadema wana tafuta sympathy kwa kutumia matukio.
 
Soweto chadema walijilipua wenyew kamabunabisha muulze Arfi atakupen majib
 
Rais haongozwi na matakwa Yenu ana vyombo ameviweka na anaviamni mnataka peleken hamtaki mnaacha , sio kuleta ngonjera hapa. watanzania wa sasa hawataki ngonjera siwe za ma ccm au macdm

Hilo linawezekana kwa Tz pekee, maana inaonekana Raisi anafuata matakwa ya wauza sembe na meno ya Tembo.
Kwani alishasema anamajina ya wauza sembe ila awezi yatoa mpaka wamwambie, na tunakumbuka uperesheni tokomeza ujangili, Majangili walimwambia aisitishe nae akasitisha.

So icho unachokisema kinawezekana kabisa.
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...

Mwe! Bandugu, huwezi kulinganisha orodha ya mafisadi na Bomu lililorushwa kwenye umati wa watu. The later is COLD BLOOD MUDDER! This is a very serious and delicate issue, it is not just water under the bridge. NO

Kwa wapenda amani wote lazima tuseme NO kwenye mauaji ya raia wasio na hatia bila kujali itikadi zetu za vyama au dini.
 
kweli kabisa hiyo so called mkanda wa soweto haupo kila mtu anajua wazi vijana wa chadema,lema na chadema yenyewe hawajui kutunza siri na wange kuwa nayo hakika ingeshavuja kabisa.

Wana waita wenzao waoga kumbe wao ndio waoga, kila leo wanapiga kelele na mkanda na wakitoka hapo mbowe,lissu na slaa wanaenda kunywa chai ikulu.

Na katika hili ndio watanzania wajue kuwa chadema wana tafuta sympathy kwa kutumia matukio.

Sympathy? subilia mziki wake by 2015
 
Kingine,
Kwanini ccm wakisikia swala la Bomu la Soweto wanachanganyikiwa na kuogopa?

Pili, Kwanini hiyo ripoti ya tume izungumzie Tukio la bomu la Olasiti alafu tukio la bomu la Soweto walinyamazie?
 
Back
Top Bottom