Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Mkuu nakushauri rudi katika ufahamu wako, Hili swala la bomu la arusha ni swala la maisha ya watu yaliopotea bila sababu ya msingi, hivyo hupaswi kulifananisha au kulipeleka kisiasa kama mabilioni yaliofichwa Uswiss hili linatakiwa lipelekwe kimahakama ili muhusika apewe adhabu stahiki.
wewe ni mpu.....mba....vuuu kuliko wooote duniani. hao wavuta bangi waliouwawa arusha utalinganisha na mabilioni yaliyofichwa kwa miongo mingi sana huko nje??
hivi unaweza kuniambia hayo mabilioni kama yakirudi yanaweza kuokoa maisha ya watoto wangapi hapa tz???? unajua hayo mabilioni yakirudi yanaweza kujenga shule na mahospitali mangapi .
mnakera nyie wajinga kwa kumtukuza BINGWA LA WAJINGA kupata kutokea katika siasa za tanzania..G.LEMA
 
Katika Bunge linaloendelea hivi sasa Dodoma, Mb Lema katika kuwasilisha mchango wake kuhusu ripoti iliyowasilishwa bungeni juu ya wizara ya mambo ya ndani amesema

"Katika ripoti yote iliyoandikwa katika kitabu hiki sijaona ikielezea au kuzungumzia bomu la soweto wakati bomu la olasiti limezungumziwa, Chadema ilisema tunaushaidi wa DVD juu ya aliyehusika na ulipuaji wa bomu la soweto na tukashauri Raisi aunde tume huru ya kimahakama ili tuwasilishe ushaidi wetu. Cha kushangaza haijaundwa mpaka leo na hawataki kufuatilia swala hilo" mwisho wa kunukuu.

My take
Hapa inaonyesha kuwa Chadema walionewa na ni kweli Serikali inausika juu ya ulipuaji wa bomu la soweto na sasa wanachokifanya ni kupiga chenga ili kuficha ukweli.

Pamoja sana mbunge wangu Lema.
 
taratiiibu mnaanza kukiri kuwa serikali ya ccm haihusiki na matukio haya. Swali la kujiuliza, kama Lema aliwahi kumvalisha nguo za jeshi mhuni wa mtaani ambaye mpaka sasa ananyea debe, tutamwaminije kwenye hizo CD?

Kweli mwalimu wako alipata tabu sana kuwa na mwanafuzi kama wewe ktk darasa lake na ongera serikali ya ccm kwa kuleta Division 5 kwani itafaa sana kwa sp kama akina Lizaboni.
 
Na hata kwa kuyajua maovu yote haya naona kaka mkuu alishaanza kutaadharisha siasa za visasi.
Kwa taarifa tu, kwa uovu na ukandamizaji wa namna hii hatoachwa mtu wala mti kwa kisingizio cha kutolipiza mabaya kwa wale waliowatendea wenzao maovu.

You cannot hide your face and counterfeit people under Mandela's icon.

You'll evenly be subjected to indictment and get equally repaid with the same kind of an act committed to others provided that your evil deeds and wrongdoing are proved beyond doubts.

For your information, you must not get carried away with these silly politics you are trying to exercise.

Tired of your satanic way of living
 
"CDM wana DVD inyoonesha mrushaji bomu wa Soweto." Angalieni isije ikawa kama yule aliyesema ana majina ya walioficha fedha Uswis halafu baada ya kubnwa anakula kiapo kwamba hana majina.
 
Katika Bunge linaloendelea hivi sasa Dodoma, Mb Lema katika kuwasilisha mchango wake kuhusu ripoti iliyowasilishwa bungeni juu ya wizara ya mambo ya ndani amesema

"Katika ripoti yote iliyoandikwa katika kitabu hiki sijaona ikielezea au kuzungumzia bomu la soweto wakati bomu la olasiti limezungumziwa, Chadema ilisema tunaushaidi wa DVD juu ya aliyehusika na ulipuaji wa bomu la soweto na tukashauri Raisi aunde tume huru ya kimahakama ili tuwasilishe ushaidi wetu. Cha kushangaza haijaundwa mpaka leo na hawataki kufuatilia swala hilo" mwisho wa kunukuu.

My take
Hapa inaonyesha kuwa Chadema walionewa na ni kweli Serikali inausika juu ya ulipuaji wa bomu la soweto na sasa wanachokifanya ni kupiga chenga ili kuficha ukweli.

Asante kwa taarifa iliyotokana na ma------
 
yale majamaa ya buku 7 fc, where are you!! au ndio caught offside??
 
wewe ni mpu.....mba....vuuu kuliko wooote duniani. hao wavuta bangi waliouwawa arusha utalinganisha na mabilioni yaliyofichwa kwa miongo mingi sana huko nje??
hivi unaweza kuniambia hayo mabilioni kama yakirudi yanaweza kuokoa maisha ya watoto wangapi hapa tz???? unajua hayo mabilioni yakirudi yanaweza kujenga shule na mahospitali mangapi .
mnakera nyie wajinga kwa kumtukuza BINGWA LA WAJINGA kupata kutokea katika siasa za tanzania..G.LEMA

Mkuu mbona povu linakutoka na matusi kukutawala badala ya hoja?
Hapo kwenye red, unajua ata watoto wadogo ni miongoni mwa waathirika wa bomu la Soweto?
Kama wananchi watauwa unafikiri hizo shule na hizo hospitali zikijengwa nani ataudhuria?
Fikiri kabla ya kusema.
 
Waziri wa mambo ya ndani anaifahamu vizuri bomu la soweto!
Nchimbi kama alivyoshiriki kumpoteza Dr. Mvungi ndivyo alivyoshiriki kulipua bomu soweto!
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...
Tulishasema ni police... Ni akina nani undeni tume tuwape majina shida iko wapi!
 
Wekeni huo mkanda ijulikane mbivu na mbichi. Tume haina kazi tena.
 
ni kweli Lema anweza kuwa kavamia siasa kwa mbele, lakini Je mnashindwa nini kuunda tume ya kijaji ili baadaye tuone huo ushahidi ambao mmeshauwita ni wa uwongo toka CHADEMA hadharani?

Mkuu Fuso, hiki ni kitendawili kikubwa sana ambacho watanzania tumetegewa na tunatakiwa kukitegua 2015
 
"CDM wana DVD inyoonesha mrushaji bomu wa Soweto." Angalieni isije ikawa kama yule aliyesema ana majina ya walioficha fedha Uswis halafu baada ya kubnwa anakula kiapo kwamba hana majina.

Zito majina Anayo sana isipokuwa baada ya kuona Chadema Kama wanamtenga hv akaamua kuchukua cha juu kwa waficha pesa na kujidai Hana majina Chezea Zito wewe.....
 
Waziri wa mambo ya ndani anaifahamu vizuri bomu la soweto!
Nchimbi kama alivyoshiriki kumpoteza Dr. Mvungi ndivyo alivyoshiriki kulipua bomu soweto!

Kuna mengi yamejificha ila kukipambazuka tutayaona yote.
 
wewe ni mpu.....mba....vuuu kuliko wooote duniani. hao wavuta bangi waliouwawa arusha utalinganisha na mabilioni yaliyofichwa kwa miongo mingi sana huko nje??
hivi unaweza kuniambia hayo mabilioni kama yakirudi yanaweza kuokoa maisha ya watoto wangapi hapa tz???? unajua hayo mabilioni yakirudi yanaweza kujenga shule na mahospitali mangapi .
mnakera nyie wajinga kwa kumtukuza BINGWA LA WAJINGA kupata kutokea katika siasa za tanzania..G.LEMA

una mawazo ya kipumbavu wewe....... yapo wapi majina ya walioficha fedha? kwanini yasitajwe?
Kama Zitto anaogopa ampe Lema atawataja acheni ukunyanzi bana
 
Wekeni huo mkanda ijulikane mbivu na mbichi. Tume haina kazi tena.

Ni kweli wapo wenye hamu ya kuiona hiyo cd kama wewe, ila hatua ya kuunda tume huru ya majaji ni muimu zaidi ikitangulia.
 
Back
Top Bottom