Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Kingine,
Kwanini ccm wakisikia swala la Bomu la Soweto wanachanganyikiwa na kuogopa?

Pili, Kwanini hiyo ripoti ya tume izungumzie Tukio la bomu la Olasiti alafu tukio la bomu la Soweto walinyamazie?

Mkuu,

Hivi kwanini Chadema Arusha waliamua kuchoma moto ofisi yao?
 
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.

Kama Lema anahusika inashinda nn serikali kuunda tume ya uchunguzi ili huyo Lema akamatwe? Au na ww umeamua kuongea pumba tu?
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...
Dah! hapa mkuu umenikumbusha na ndio nauona umburulra wa Lema, yani hapa ndio anaonesha kweli Lema kichwa cha mbuzi,dakika moja ikipita amesha sahau kasema nini!.
 
Hilo linawezekana kwa Tz pekee, maana inaonekana Raisi anafuata matakwa ya wauza sembe na meno ya Tembo.
Kwani alishasema anamajina ya wauza sembe ila awezi yatoa mpaka wamwambie, na tunakumbuka uperesheni tokomeza ujangili, Majangili walimwambia aisitishe nae akasitisha.

So icho unachokisema kinawezekana kabisa.
Kama unalijua hilo basi hakuna haja ya kulalama, eti akuundie tume! kaeni ushahidi wenu mpaka kufa tuone kama mnawatendea haki hao marehemu
 
Dah! hapa mkuu umenikumbusha na ndio nauona umburulra wa Lema, yani hapa ndio anaonesha kweli Lema kichwa cha mbuzi,dakika moja ikipita amesha sahau kasema nini!.

Mkuu hapo kwenye red mbona umejionyesha kuwa wewe ni kichwa cha mende?
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...

mmojawapo wewe
 
wata zunguka sana ila ukweli utasimama,,alieua nduguzetu ni serikal full stop.na muda ukifika yooote hayo yatabe open,allah hashindwi.
 
Sasa kwanini Raisi anapata kigugumizi kuunda hiyo tume huru ya majaji?

Pili Rais angeunda hiyo tume na kama kweli Chadema hawana huo ushaidi, huoni ingekuwa ni sababu tosha ya kuiangamiza Chadema ambayo inawanyima usingizi cmm na vibaraka wake?

CHADEMA, kachama kadogo chenye asili ya kaskazini, chenye wabunge 23, na madiwani wachache, kiinyime serikali iliyoko madarakani usingizi? Kweli BAVICHA mnajijaza upepo! fikiria tena!
 
CHADEMA, kachama kadogo chenye asili ya kaskazini, chenye wabunge 23, na madiwani wachache, kiinyime serikali iliyoko madarakani usingizi? Kweli BAVICHA mnajijaza upepo! fikiria tena!

Quality- Chadema (Mps-46) Utafiti kwanza upitishaji baadae, no research no write to speak.

Quantity- Ccm (Mps- above 200) Ndiyo mzee, without reseach.
 
Lema hana jipya,bomu walirusha wao CDM,hata majuzi walichoma ofisi moto lkn ofisi Arusha ili wapate huruma ya Wananchi

Hata Dr. Ulimboka, Absalom Kibanda walijifanyia ukatili wenyewe....
Yawezekana hata Dr. S. Mvungi na Daud Mwangosi walijiua wenyewe.....!
Serikali dhaifu inaacha raia wake wauawe na kina Lema: haina uwezo wa kuwashtaki wauaji wa raia! Watanzania tusishabikie maovu, wenzetu kupoteza maisha tusifanye mzaha.
 
wata zunguka sana ila ukweli utasimama,,alieua nduguzetu ni serikal full stop.na muda ukifika yooote hayo yatabe open,allah hashindwi.

ok mbona amtaki tuone mkanda?mbona majina ya walio weka pesa nje mlipiga kelele yatajwe lakini mkanda hamtaki tuuone?
 
Matusi ni siraha hafifu sana katika kupambana na hoja.

Tatizo lako umebarikiwa ukosefu wa fikra pevu.

Si ndiyo hawahawa wanailaumu serikali kuhusika?.

Kwa hiyo anataka serikali "iliyoweka" bomu kwenye mkutano ndiyo tena ifanye uchunguzi?. Toka lini kesi ya nyani akapelekewa ngedele?.

Kwa nini asitoe tu hiyo video ili watu waione serikali katika uhusika wake?.

Wewe ni wakuhurumiwa tu kwa sababu siyo kosa lako, this is BAVICHA mentality at its best.

kafie mbele huko na ufisadi wenu huku mkiandamwa na harufu ya damu za watz zisizo nz hatia
 
hapa ndipo ninapoichukia sana CCM na wachina.....Lema ana haki kabisa ya kukomaa nalo hili jambo,na ikibidi wana Arusha waambiwe ukweli hadi ktk cuhaguzi ujao.

CCM pia wanahitaji waambia kanisa katoliki walitaka muua balozi wao kwa sababua gani..Hili CCM wajue watapaya the price too.Catholics wote watahitahitaji jibu lao ktk hili ili CCM wapate kura hata moja.
 
Hata Dr. Ulimboka, Absalom Kibanda walijifanyia ukatili wenyewe....
Yawezekana hata Dr. S. Mvungi na Daud Mwangosi walijiua wenyewe.....!
Serikali dhaifu inaacha raia wake wauawe na kina Lema: haina uwezo wa kuwashtaki wauaji wa raia! Watanzania tusishabikie maovu, wenzetu kupoteza maisha tusifanye mzaha.

Hii ndio shida ya kuwa na Serekali iliojaa "MIZIGO" badala ya kuwa na Mawaziri.

Hpo kwenye red msininukuu vibaya, nimemnukuu katibu mkuu wa Magamba.
 
Back
Top Bottom