Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Lema hana jipya,bomu walirusha wao CDM,hata majuzi walichoma ofisi moto lkn ofisi Arusha ili wapate huruma ya Wananchi
 
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.
Shetani unajaribu kujifanya malaika.ila tofauti yako na malaika ni Dhambi Utajitahidi sana ila mwisho lazima utende Dhambi,utetee Dhambi na Uwezeshe Dhambi.
 
Na hata kwa kuyajua maovu yote haya naona kaka mkuu alishaanza kutaadharisha siasa za visasi.
Kwa taarifa tu, kwa uovu na ukandamizaji wa namna hii hatoachwa mtu wala mti kwa kisingizio cha kutolipiza mabaya kwa wale waliowatendea wenzao maovu.

You cannot hide your face and counterfeit people under Mandela's icon.

You'll evenly be subjected to indictment and get equally repaid with the same kind of an act committed to others provided that your evil deeds and wrongdoing are proved beyond doubts.

For your information, you must not get carried away with these silly politics you are trying to exercise.

Tired of your satanic way of living
hata kwa Mandela sio kuwa walisamehewa bali iliundwa tume ya maridhiano ambayo kwa kiasi fulani inafanana na zile mahakama za Rwanda maarufu kama 'gachacha'. Hii ina maana kuwa kila mtu anayetuhumiwa au kujihisi tuhuma zozote anakuja anaeleza na kuomba msamaha lakini asipotokea basi anapelekwa mbele ya haki.

Lema hana jipya,bomu walirusha wao CDM,hata majuzi walichoma ofisi moto lkn ofisi Arusha ili wapate huruma ya Wananchi

Hivi kwanini mnapenda kubinafsisha akili zenu kwa ujira mdogo wa Tsh.7000 tu?

Ebu rudisha ufahamu wako na kisha jiulize hili swali. Utapataje huruma ndani ya familia yako pale unapoamua kuuwa baadhi ya wanafamilia?
 
Lema hana jipya,bomu walirusha wao CDM,hata majuzi walichoma ofisi moto lkn ofisi Arusha ili wapate huruma ya Wananchi
muwe mnajitahidi kusoma na kuelewa, Mh. Lema anasema hili halijatajwa kwenye report ya kamati wakati maisha ya wau wasio na hatia yalipotea!

Are you also man with a chicken head ? Watu wamekufa unaleta utani ? Kwani kuunda Tume ya kimahakama serikali inaonaje ?
Kweli huku ni kujitoa ufaha, mi hata sijui siasa mnaishabikia vp? Kwa hiyo kukalia ushahidi hao watu walikufa ndo kuwatendea haki
 
Ivi kuna asiye juu nani aliyelipua bomu la SOWETO
Ukitembelea Arusha waulize hata wanafunzi watakuambia
Zla zile damu hazitaishia bure Mungu atawaadhibu
Kila auwae kwa upanga na yeye atawawa kwa upanga
Ndo maana nasema hata hapa JF yoyote anayetetea kitu ili hali anajua anatetea uovu utamrudia
Itamrudi ama direct or indirect hapa hapa duniani.

You got that right.

Kibaya zaidi hawa wanaotetea huo uonevu wa serikali kwa ID fake si ajabu ni viongozi serikalini au wana nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha mahitaji ya jamii.
 
Majina ya Mabilionea wenye pesa Uswisi yanahitajika na Lema ayataje Bungeni, kwa nini asianze na alichonacho mwenyewe anachoita ushahidi!
Kama Lema jasiri aweke hadharani DVD hiyo watanzania tuujuwe ukweli.
 
Amen na mungu aendelee kuwalaani
 
muwe mnajitahidi kusoma na kuelewa, Mh. Lema anasema hili halijatajwa kwenye report ya kamati wakati maisha ya wau wasio na hatia yalipotea!

Mkuu pole, hawa maccm ni kazi kubwa kuyaelewesha maana yanalaana.
 
Waziri wa mambo ya ndani anaifahamu vizuri bomu la soweto!
Nchimbi kama alivyoshiriki kumpoteza Dr. Mvungi ndivyo alivyoshiriki kulipua bomu soweto!

Mkuu ongea ukiwa na ushahidi, otherwise nyamaza. Huyu marehemu unayemtaja hapo ana ndugu na marafiki wa karibu wakiwemo wanawe. Unapolitumia jina lake kwa mzaha hivi haipendezi.
 
You got that right.

Kibaya zaidi hawa wanaotetea huo uonevu wa serikali kwa ID fake si ajabu ni viongozi serikalini au wana nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha mahitaji ya jamii.

Mungu atatoa ukumu yake siku akiamua.
 
Mkuu ongea ukiwa na ushahidi, otherwise nyamaza. Huyu marehemu unayemtaja hapo ana ndugu na marafiki wa karibu wakiwemo wanawe. Unapolitumia jina lake kwa mzaha hivi haipendezi.

Waliouwawa Soweto hawana ndugu, ila Haya ya Dr. Mvungi na Nchimbi ndio yenye ndugu sio?
 
Tuliwapinga makaburu siyo kwa sababu ya rangi yao, kabila lao au chama chao. Ubaya wao ulitokana na vitendo vyao dhidi ya raia weusi wa Afrika.
Ni wapumbavu wa kupindukia tu wanaoshabikia ukaburu katika nchi yetu Tanzania.
Wahusika wa kulipua mabomu Arusha washughulikiwe mmoja mmoja badala ya kutuhumu kundi au taasisi hata kama walitumwa! Hii itakuwa fundisho kwa wengine wenye mawazo kama yao.
 
Majina ya Mabilionea wenye pesa Uswisi yanahitajika na Lema ayataje Bungeni, kwa nini asianze na alichonacho mwenyewe anachoita ushahidi!
Kama Lema jasiri aweke hadharani DVD hiyo watanzania tuujuwe ukweli.
Kwa hiyo mnafahamu kuwa kwa sasa mnaoujuwa ni uwongo..???
Nyie dawa yenu ni kuwamabina tu

Bila jk kuondoka madarakani nchi hii haitakaa iwe thabiti
 
Huu ndiyo utoto wa viongozi wa CHADEMA.

Huyu kijana ambaye siasa amezivamia siyo muda mrefu alikuwa anaweka pressure kwa mbunge mwenzake ampe majina ya walioficha pesa nchi za nje ili awataje yeye lakini likija swala la kuwataja au kutoa video ya mauwaji ya watu wasio na hatia wanayodai wanayo, anataka tume ya kijaji.

He is the most stupid MP has ever join the floor of parliament.

Usanii mtupu unaowafaa watu wenye akili kama zake.

No research...ni right to speak....wataalamu wa siasa bado wanaumiza vichwa kupata ni yupi "hewa" kati ya Lema na Sugu....sasa iweje wewe umesha conclude......subiri majibu ya utafiti.
 
kuna watu wakisikia Gobless Lema masabuli yana wawasha..
 
Majina ya Mabilionea wenye pesa Uswisi yanahitajika na Lema ayataje Bungeni, kwa nini asianze na alichonacho mwenyewe anachoita ushahidi!
Kama Lema jasiri aweke hadharani DVD hiyo watanzania tuujuwe ukweli.

LEMA hana DVD wala mfano wa DVD, Tayari angesha duplicate na kuanza kuuza siku nyingi. Kama zile za maandamano na mauaji Arusha, alizidurufu na kuziuza mwenyewe hii angeshindwaje? Huu ni muendelezo wa siasa zake za Kitoto.
 
Back
Top Bottom