Kiwi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 1,054
- 995
Ukweli ni kuwa wananchi wamechoka, kuanzia kaskazini, kusini, mashariki na magharibi, sasa wananchi wamesema basi! Yaliyompata Mabina ni rasharasha tu... ccm fungasheni mtuachie nchi. Kama mmeshindwa kusoma alama za nyakati na kuendelea kuidharau sauti ya umma sisi tumeshasema 'Tumechoka', na kama tulivyoamua kuitekeleza amri ya Waziri Mkuu, basi kilichobakki ni 'kuwapiga tu!' ccm inabidi tuwakumbushe ya kuwa jemadari wa vita Goliathi aliangushwa na kijana mdogo Daudi aliyekuwa na silaha ya jiwe!