Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
CHADEMA acheni kucheza na akili za watu, kwahiyo rais asipounda hiyo tume, huo ushahidi mtakufa nao?
huna akili,jina lenyewe linasadifu ujinga wako
CHADEMA acheni kucheza na akili za watu, kwahiyo rais asipounda hiyo tume, huo ushahidi mtakufa nao?
Endelea kukusanya buku 7 zako hapo lumumba wakati wazazi wako wanakufa njaa MANEROMANGO ukikidumisha sare za chama
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
Kama ushahidi anao si auweke hadharani?
kama serikali iliusika sasa iyo tume huru mnaitaka ya nini maana inaundwa na iyo iyo serekali aaaahaaaaa devision 5 kazi kweli kweliSerikali iilihusika moja kwa moja. Serikali dhalim ya magamba
Matusi ni siraha hafifu sana katika kupambana na hoja.wajinga kama wewe bado wako ccm,wewe unafurahi tu jinsi watu walivyokufa na mlipuko wa bomu! Yaan mijitu miji.nga na mipumbavu kama wew ndo mnasherehekea vifo vya wenzenu.Naona kwenu ninyi magamba Buku 7 mnafurahia tu watu kufa,hata halioni aibu,popote ulipo laana hii ya kubariki mauaji ikufikie
mbona unakuwa mgumu sana kuelewa? Chadema wanataka iundwe tume na rais ili wautoe ushahidi lakini serikali haitaki wao walichokifanya ni kukamata maaskari na kuvunga wanahoji, lakini iko wazi serikali inajua kilichotokea kwenye ule mkutanoLema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
mbona unakuwa mgumu sana kuelewa? Chadema wanataka iundwe tume na rais ili wautoe ushahidi lakini serikali haitaki wao walichokifanya ni kukamata maaskari na kuvunga wanahoji, lakini iko wazi serikali inajua kilichotokea kwenye ule mkutano
Kuna wanasiasa kila wakizungumza na nikishuhudia kwa matendo yao ninaamini kuwa nchi yangu inapitia katika zama za ujinga.
Tatizo liko kwa hao mapolisi
Huu ndiyo utoto wa viongozi wa CHADEMA.
Huyu kijana ambaye siasa amezivamia siyo muda mrefu alikuwa anaweka pressure kwa mbunge mwenzake ampe majina ya walioficha pesa nchi za nje ili awataje yeye lakini likija swala la kuwataja au kutoa video ya mauwaji ya watu wasio na hatia wanayodai wanayo, anataka tume ya kijaji.
He is the most stupid MP has ever join the floor of parliament.
Usanii mtupu unaowafaa watu wenye akili kama zake.
Mkuu, matukio ya sodoma na gomora yanasababisha watu wasiwe na uhuru wakati wa mijadala
Mkuu, ni hawa hawa polisi ndio waliomuokoa dr slaa kule kigoma. Ingekuwa wana lengo baya, si wangemwacha tu apopolewe na mawe kama alivyofanyiwa diwani wa Mwanza?
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
Kwa taarifa yako ....hata ipite miaka mingapi... genge zima lililohusika na yale mauaji ya watu na watoto wasio na hatia LAZIMA litahukumiwa. Mark my words! Hakuna cha TISS polisi au mkuu wa mkoa. Mambo yanajulikana kuliko mnavyofikiri!!