Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Kwa taarifa yako ....hata ipite miaka mingapi... genge zima lililohusika na yale mauaji ya watu na watoto wasio na hatia LAZIMA litahukumiwa. Mark my words! Hakuna cha TISS polisi au mkuu wa mkoa. Mambo yanajulikana kuliko mnavyofikiri!!
I don't like to look like a child if I mark your words.

I have got no place in my mind to put such garbage words.

Take it with you and keep it. Thanks.
 
kama serikali iliusika sasa iyo tume huru mnaitaka ya nini maana inaundwa na iyo iyo serekali aaaahaaaaa devision 5 kazi kweli kweli

Ufahamu ukishamtoka mtu inakuwa tabu sana.
Chadema inaamini kuwa sio serikali yote inahusika na Bomu la Soweto na ndio maana inataka serekali iunde tume huru ya kijaji ili wahusika wawajibishwe.

Hii ndio tatizo la bk7 wavivu wa kusoma na wazito wa kuelewa wepesi wakuropoka werevu wa kukariri.
 
taratiiibu mnaanza kukiri kuwa serikali ya ccm haihusiki na matukio haya. Swali la kujiuliza, kama Lema aliwahi kumvalisha nguo za jeshi mhuni wa mtaani ambaye mpaka sasa ananyea debe, tutamwaminije kwenye hizo CD?
 
Jambo lakujiuliza kwa wakazi wa Arusha, Mbona matukio haya ni mageni mkoani kwetu? Kwanini matukio haya yameanza baada ya LEMA? mara maandamano, mara risasi, mara mabomu kwenye mikusanyiko, mara tuhuma za kulawitiwa...etc
 
Hata kuzungumzia tu wanaogopa? Hata kuweka kwenye report?
Serikali kama ya makaburu?
Nyerere aliupinga ukoloni....sasa ccm imerudisha ukoloni upya.
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...

Lema ulisema hauitaji kinga kusema wezi wa mabilioni ya uswisi
Leo unayo DVD ya mauaji ya bom arusha then unaogopa mpaka tume ya kimahakama ya rais, mi nilidhan badala ya kusubiri hiyo tume ungepeleka dvd hiyo ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL TEN, CNN, BBC, AL-JAZIRA, SBC
ili watanzania wajue ukweli
 
kwa hili nakubaliana mkuu. Wangemwacha kwanza atwangwe pengine angeshika adabu

Mkuu utakuja msibani Kisesa? Uwepo wako mkereketwa wa Chama ni muhimu katika msiba huu wa kiongozi wetu aliyetukuka na kada wa siku nyingi kwa nyadhifa tofauti, Marehemu Mheshimiwa Clement Mabina ((RIP).
Nadhani ni vema Nape akaagiza vijana Lumumba wagharamiwe safari hiyo ili kuonyesha umoja wakati huu mgumu kiroho.
 
Kama ushahidi anao si auweke hadharani?

wewe watawekaje nondo ya kutumia mwaka 2015 sasa hivi. Wasipounda tume CHADEMA endeleeni kubana huo ushahidi mpaka mwaka 2015 muwamalize nao. Mtengeneze cd kibaao halafu mzigawe bure Tanzania nzima.
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...
Mr Zero, hapo sasa umechangia hoja kweli ?
 
Huu ndiyo utoto wa viongozi wa CHADEMA.

Huyu kijana ambaye siasa amezivamia siyo muda mrefu alikuwa anaweka pressure kwa mbunge mwenzake ampe majina ya walioficha pesa nchi za nje ili awataje yeye lakini likija swala la kuwataja au kutoa video ya mauwaji ya watu wasio na hatia wanayodai wanayo, anataka tume ya kijaji.

He is the most stupid MP has ever join the floor of parliament.

Usanii mtupu unaowafaa watu wenye akili kama zake.
ni kweli Lema anweza kuwa kavamia siasa kwa mbele, lakini Je mnashindwa nini kuunda tume ya kijaji ili baadaye tuone huo ushahidi ambao mmeshauwita ni wa uwongo toka CHADEMA hadharani?
 
Misiba ya wavuta unga utamuona mukulu akitoa pole, la ajabu hilo bomu la soweto hata yeye alikaa kimya, watu tulio wapoteza wlichukuliwa kama vile kuku wamekufa kwa mdondo wakati south ameenda mara mbili kwa msiba huohuo! greeeeeeeeeeeeeee!
ni heri mvuta unga mwenye utu kuliko yule asiyevuta mwenye hulka,tabia,mienendo,mawazo na matendo ya kishetani. mkuu yeye hakutoa pole kwa sababu ni muungwana ila angekuwa mkatili kama alivyo mchawi wenu SKLAA, B
 
Hata kuzungumzia tu wanaogopa? Hata kuweka kwenye report?
Serikali kama ya makaburu?
Nyerere aliupinga ukoloni....sasa ccm imerudisha ukoloni upya.
Hizi zote sarakasi, juzi mnamtaka Zitto ataje majina hamuombi tume huru, hapa ushahidi mnao mnaaomba time huru, sometimes kushabikia siasa inabidi ujitoe ufahamu kidogo
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...

Kwa nini atamke tu ? Zitto yeye kwa mujibu wa Werema alisemea kwenye Kamati na mauaji haya yanataka a Legal framework na si kusema na kuishia njiani.Hii ni kitu serious sana .
 
Hizi zote sarakasi, juzi mnamtaka Zitto ataje majina hamuombi tume huru, hapa ushahidi mnao mnaaomba time huru, sometimes kushabikia siasa inabidi ujitoe ufahamu kidogo

Are you also man with a chicken head ? Watu wamekufa unaleta utani ? Kwani kuunda Tume ya kimahakama serikali inaonaje ?
 
Lema ulisema hauitaji kinga kusema wezi wa mabilioni ya uswisi
Leo unayo DVD ya mauaji ya bom arusha then unaogopa mpaka tume ya kimahakama ya rais, mi nilidhan badala ya kusubiri hiyo tume ungepeleka dvd hiyo ITV, TBC, STAR TV, CHANNEL TEN, CNN, BBC, AL-JAZIRA, SBC
ili watanzania wajue ukweli
Hivi hizo shule mmesoma hata hazijawasaidia ? hapo unalinganishaje ? hivi kwa upeo wako finyu kesi ya mauaji ni sawa na kesi ya kuhujumu nchi ? na utaratibu wa kushughulikia kwako ni sawa tu ?
 
Back
Top Bottom