Semanao mkuu, vyeti vya nini huko? muhimu ni kama kadi yako ya chama iko hai na jee mambo ya takrima unayazingatia?full stop.Unategemea nini kutoka kwa wabunge wa CCM wenye vyeti feki. Hii inaonyesha hata sheria za msingi za nchi na za kimataifa hazijui kabisa.
Hatukatai lakini kuna njia Bora zaidi za kupigana na Ukimwi, nazo ni za kidini, ukishindwa tumia busara zako kabla ya kuingia deal ya ngono na mtu i.e know your client/customer/service provider, nyingine ni ya kutumia soksi.kwa Wazo alilotoa muheshimiwa Yona ni la kuzingatiwa sana, isje ikwa kama wimbo wa Remmy mAMBO KWA SOKSI, ambao ulipigwa marufuku zama zile na kwa sasa kinachozungumziwa ni mambo kwa soksi kwa asilimia 100.
Muheshimiwa ana wazo la msingi na mimi namuunga mkono katika hili, na tena si kuwekewa alama tu na hata wale ambao wanavirusi vya ukimwi wanaoenda nchi za nje ni vema wakajulikana katika nchi waendazo ili kudhibiti maambukizo ya ukimwi,
Tatizo watu wanaambukiza virusi kwa makusudi na kwa kudhamiria, nakumbuka kauli waliyoitoa waathirika kipindi kile kuishinikiza serikali iwape chakula walitishia 'kuambukiza virusi kwa makusudi' na pia wametishia pia 'kuacha kutumia dawa za kupunguza makali ya virus', hii ni hatari zaidi kuliko kuwekewa alama.
kinachoniogofya zaidi ni hivi vitisho vyao, kwani mtu awazavyo ndivyo alivyo', wanawaza kuua raia wengine wasio na hatia, wanawaza kuua watu wengi zaidi kwa kusababisha 'resistance' ya dawa.
Nawaunga mkono India, dunia imekuwa ndogo sana, mnakumbuka mfano wa yule gay 'mhudumu wa kwenye ndege' alivyowaambukiza watu kadhaa (new type carpos sarcoma)?
Serikali yakemea imani potofu kuhusu ulemavu
SI WENGINE HAO WANAOWAITA WALEMAVU NA VIPOFU NI WATU WALIOKUWA WANAFATA IMANI ZA KISHETANI NI WAKIRISTO HAO.
LAKINI UKIMWI ETI NI MAPENZI YA MUNGU.
KAZI HIVYO?
MAMBO YENU HAYO MASHEYANI.
SI WENGINE HAO WANAOWAITA WALEMAVU NA VIPOFU NI WATU WALIOKUWA WANAFATA IMANI ZA KISHETANI NI WAKIRISTO HAO.
The following conditions are mainly responsible for the AIDS pandemic in Tanzania and throughout Africa:
1)Concurrent multiple sexual partners - many African men and women ...
2)Dry sex - for some reason African men believe vaginal dryness means a female has had few sexual encounters and is therefore more desirable....
3)Ignorance and misinformation - a lot of people in Africa are still misinformed and some are still ignorant about the disease. There are a lot of myths about HIV/AIDS in Africa. Some of these myths come from misinformation and some from pure ignorance.
Now with the above factors at play, any HIV/AIDS prevention program is likely to fail in Tanzania and throughout Africa.
And how do you explain the pandemic in India...?
Nilisikiliza kipindi cha Femina Talkshow cha wiki hii kwa masikitiko makubwa sana. Kuna dada mmoja mlemavu alipata ukimwi na kutelekezwa na familia yake. Mwanadada huyo aliamua kueleza wazi kuwa ni muadhirika akitegemea kupata msaada kutoka kwa familia yake. Chakushangaza ni kwamba alinyanyapaliwa na kutengwa na familia yake. Kwa sasa analelewa na mtu aliye wa familia yake. Ni ndugu wa kutoka kijiji kimoja. Mambo kama hayo yapo kwenye familia nyingi. Ndio maana tulio wengi tunaogopa kujitangaza. Kwani kujitangaza ni kunyanyapaliwa na jamii na pia kutengwa. Huyu mlemavu alijitoa mhanga na kujitangaza. Alikuwa na ujumbe mzito kwa wa-Tanzania. Kwani tulio wengi tunadhani walemavu hawana ukimwi? Dunia imebadilika. Hakuna mlemavu, watoto wa shule wala nani. Wote wanao. All are vulnerable to HIV/AIDS.
Ni wajibu wetu kama jamii kuwahudumia waadhirika wa ugonjwa huu kwa hali na mali. Kwani wote ni watarajiwa wa ugonjwa huo. Nilisoma jana kwenye jamii forums kwamba kuna mtoto alikuja papai na kupata HIV. Uchunguzi ulipofanyika uligundua kwamba aliyemuuzia mtoto huo papai alikuwa na jeraha liliokuwa linatoa damu. Kwa hali hiyo mtoto alipata ukimwi kwa nia hiyo. No one is safe against this killer disease.
Ninatoa pongezi kwa kipindi cha Femina Talk Show hiki kwani kinatoa mambo muhimu yanayozikumba jamii zetu. Kwa hiyo tujifunze kupitia kipindi hiki.