TUANGALIE BIBLE INAVYOSEMA KUHUSU KUTAHIRIWA...
WARUMI 2
17[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Tazama, wewe ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea torati na kujisifia uhusiano wako na Mungu, [/FONT][/FONT]18[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria, [/FONT][/FONT]19[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani, [/FONT][/FONT]20[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo sheria, [/FONT][/FONT]21[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]basi wewe, uwafundishaye wengine, mbona hujifunzi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, wewe mwenyewe waiba? [/FONT][/FONT]22[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wewe usemaye mtu asizini, wewe mwenyewe wazini? Wewe uchukiaye miungu ya sanamu, wafanya jambo la kumchukiza katika mahekalu? [/FONT][/FONT]23[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wewe ujivuniaye sheria, wamwaibisha Mungu kwa kuvunja sheria? [/FONT][/FONT]24[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kama ilivyoandikwa, Kwa ajili yenu ninyi, Jina la Mungu linatukanwa miongoni mwa watu Mataifa." [/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]
[/FONT]25[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kutahiriwa kuna thamani ikiwa unatii [/FONT]
[/FONT]