Sedekia alisafiri na Mwl Christopher Mwakasege na ndiye aliyekuwa mwimbaji wake.Nasikiliza RFA,kuna jamaa wanamuhoji amekiri kabisa,kuna mchungaji alimtoa kimiujiza mwimbaji injili wake,techniq aliyotumia huyu mchungaji ni kusafiri naye na kumtoa huko huko,huyu jamaa amekiri kabisa kwamba sedekia yupo kwa mizimu kimiujiza mpaka sasa,kwa maelezo zaidi sikiliza RFA sasa,Je swali ni mchungaji gani alisafiri na sedekia?
Sedekia yupo mbinguni anakula bata!
Mkubwa hii sio siasa,nakumbuka kwamba late sedekia alifariki nje ya nchi akiwa na mchungaji(((Mwakasege source JF members))),nakama wewe ni mfuatiliaji wa kipindi cha sintosahau cha RFA story zake ni za kweli maana wana-investigate kwanza then wakishajidhihirishia ukweli ndio wanakuhoji,na jamaa amesema kabisa mchungaji alimtoa muimbaji wake na alichokifanya ni kutumia mbinu ya kusafiri nae!! Mwakasege vipi tena mbona hvyo?
Kweli kuna watu wana ubongo mdogo hata kwenye kizibo cha soda haujazi. Yaani wewe umeamini huu utapeli ukaona ni kitu cha maana cha kujadili?
Mtumishi wa mungu wapi bhana? Huyo ni mfuasi wa Shetani tu, watumishi wa mungu walisha pitaga zamani nazama zao hazipo tena. Ukimuona mtu anajiita mtumishi wa mungu jua anamtumikia Lussifer huyo.
Kweli kuna watu wana ubongo mdogo hata kwenye kizibo cha soda haujazi. Yaani wewe umeamini huu utapeli ukaona ni kitu cha maana cha kujadili?
Mkubwa hii sio siasa,nakumbuka kwamba late sedekia alifariki nje ya nchi akiwa na mchungaji(((Mwakasege source JF members))),nakama wewe ni mfuatiliaji wa kipindi cha sintosahau cha RFA story zake ni za kweli maana wana-investigate kwanza then wakishajidhihirishia ukweli ndio wanakuhoji,na jamaa amesema kabisa mchungaji alimtoa muimbaji wake na alichokifanya ni kutumia mbinu ya kusafiri nae!! Mwakasege vipi tena mbona hvyo?
Nasikiliza RFA,kuna jamaa wanamuhoji amekiri kabisa,kuna mchungaji alimtoa kimiujiza mwimbaji injili wake,techniq aliyotumia huyu mchungaji ni kusafiri naye na kumtoa huko huko,huyu jamaa amekiri kabisa kwamba sedekia yupo kwa mizimu kimiujiza mpaka sasa,kwa maelezo zaidi sikiliza RFA sasa,Je swali ni mchungaji gani alisafiri na sedekia?
Angela hakusafiri na Mchungaji wake,kama hauamini mpigie mwenyewe akuambie mie nimewasilisha alivyosema,kama una maswali muulize muhusika namba yake ipo humu.
Story zako hazina tofauti na zile za Erick Shigongo.Nasikiliza RFA,kuna jamaa wanamuhoji amekiri kabisa,kuna mchungaji alimtoa kimiujiza mwimbaji injili wake,techniq aliyotumia huyu mchungaji ni kusafiri naye na kumtoa huko huko,huyu jamaa amekiri kabisa kwamba sedekia yupo kwa mizimu kimiujiza mpaka sasa,kwa maelezo zaidi sikiliza RFA sasa,Je swali ni mchungaji gani alisafiri na sedekia?
Mkubwa hii sio siasa,nakumbuka kwamba late sedekia alifariki nje ya nchi akiwa na mchungaji(((Mwakasege source JF members))),nakama wewe ni mfuatiliaji wa kipindi cha sintosahau cha RFA story zake ni za kweli maana wana-investigate kwanza then wakishajidhihirishia ukweli ndio wanakuhoji,na jamaa amesema kabisa mchungaji alimtoa muimbaji wake na alichokifanya ni kutumia mbinu ya kusafiri nae!! Mwakasege vipi tena mbona hvyo?
Kwa hiyo ni story ya kutunga?
Mh! Preacher man dont tell, heaven is........ I know you dont know whats life is really worth!
acha uongo wewe unafaidika na nini? hata mie nimemfuatilia from last week,mbona husemi kuwa na Mwimbaji mwingine mkubwa naye kajiunga mbona humtaji jina kama ulivyowataja hawa wengine.ACHA UPOTOSHAJI!!!!!!!!