King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,105
- 98,438
- Thread starter
- #21
sio siasa tuu nadhani ifike mahali watanzania tubadili utaratibu wetu tumezoea kikija kitu tunakiongea tunakijadili halafu kinapita kama upepo yaani hakina mwisho wala muafaka! Haya juzi juzi katokea mtu anadai yeye alizamisha meli leo huyu nae anadai sijui alikuwa kuzimu. Tuamkeni jamani tunaweza tukawa hatuna macho ya kiroho ila hata maarifa ya kawaida? Tunaangamia kwa kukosa maarifa! Tuwafuatilie hawa watu mpaka mwisho tujue nini chanzo cha haya yote na nyuma ya pazia kuna nini.
Kweli kabisa jamaa anavyoelezea yani ana uhakika kwa anachokisema,ebu tufatilie hadi mwisho wake,jamaa katoa hadi namba ya cm sema sijaikariri.