Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

Sasa kaka King kong ina maana kila mtu akiongea tu unamwamini mzee!
Katika ugumu wa maisha wa kiwango cha bongo watu wengi wanaamua kujichizisha au kuzivua akili zao! Umesahau Dar mchungaji mmoja aliwaahidi watu kumrudisha duniani Amina Chifupa kwamba hakufa!
Siku ilipofika watu wakasubiri karibu miguu iwaingie tumboni pale Tanganyika pakers!
Njaa mbaya kaka! Watu inawatoa akili kiasi wanaweza kuonge lolote lile.
 
Now you talking mkuu! Nimeshangazwa sana na hizi propaganda za kumchafua Mwakasege!
Kuwa wachungaji wawili nimekuwa nina wasikiliza sana na kuamini wanamuhubiri Mungu wa kweli....nao ni The late Mzee Moses Kulola na Mchungaji Mwakasege...
Ukisikiliza mafundisho yao utaona hakuna ujanja ujanja...
 
kaka unaamin kua kipindi cha sitosahau kinakua invesigated,na nan?wap hyo inafanyika kaka,sitoshau n historia ya mtu binafsi ya huko nyuma hata miaka 70 iliyopta sasa nan anainvestigate historia ya mtu pale RFA?HZO STORY ZOTE NI ZA KUTUNGA KM ZA SHGONGO,KWA MFANO KM UNAKUMBUKA MIAKA KM 4 AU 5 ILIYOPTA KUNA JAMAA ALIKUA AKITOA STORY YA UCHAWI HUKO SHY ENEO LINAITWA GAMBOSHI,KUA ALIENDA HUKO AKAKUTANA NA UCHAWI,NA MAMBO KM HAYO,HYO STORY NI YA KUTUNGA NA ALIITOA BRO WANGU WALA HUKO SHY HAPAJUI,NI STORY ZA KIZAMANI SANA TULIZOKUA TUNAHADITHIWA NA BIBI YEYE AKAIMODERNISE NA KUISEMA RFA,NA HADI SASA NAISH NAE HUYO MCHAWI FEKI WA GAMBOSH,USIAMIN KILA KINACHOSEMWA KWENYE RADIO.

Jamaa katoa namba ya cm mpigieni kama alikuwa anadanganya basi wiki inayokuja asihojiwe maana RFA credibility itapotea maana watakuwa wanawahoji wasanii wakati wao wanatueleza wasikilizaji wao kwamba story ni ya kweli coz wameichunguza kwanza.
 
Nasikiliza RFA,kuna jamaa wanamuhoji amekiri kabisa,kuna mchungaji alimtoa kimiujiza mwimbaji injili wake,techniq aliyotumia huyu mchungaji ni kusafiri naye na kumtoa huko huko,huyu jamaa amekiri kabisa kwamba sedekia yupo kwa mizimu kimiujiza mpaka sasa,kwa maelezo zaidi sikiliza RFA sasa,Je swali ni mchungaji gani alisafiri na sedekia?
miafrika ya kitz bwana kazi ipo..
 
"ni vema mkachunga vinywa vyenu kwa kunena yasiyostahili mbele za Mwenyezi Mungu na Wanadamu
Kwa maana hamjui ni roho ngapi zimeokolewa na kuponywa kupitia kwa mtumwa wake"


NI HAYO TU YA KUWAAMBIA JUU YA HABARI HII
 
Mkubwa hii sio siasa,nakumbuka kwamba late sedekia alifariki nje ya nchi akiwa na mchungaji(((Mwakasege source JF members))),nakama wewe ni mfuatiliaji wa kipindi cha sintosahau cha RFA story zake ni za kweli maana wana-investigate kwanza then wakishajidhihirishia ukweli ndio wanakuhoji,na jamaa amesema kabisa mchungaji alimtoa muimbaji wake na alichokifanya ni kutumia mbinu ya kusafiri nae!! Mwakasege vipi tena mbona hvyo?
huu ni ujinga kumwamini tapeli kama huyo ni Sawa pastor kairuki kusema alikuwa freemason
 
Mojawapo ya tabia ya binadamu mwenye akili mingi ni kufikiria. Wengine yaani lolote wanaloambiwa wanameza tu. Kama dodoki vile.
 
Nasikiliza RFA,kuna jamaa wanamuhoji amekiri kabisa,kuna mchungaji alimtoa kimiujiza mwimbaji injili wake,techniq aliyotumia huyu mchungaji ni kusafiri naye na kumtoa huko huko,huyu jamaa amekiri kabisa kwamba sedekia yupo kwa mizimu kimiujiza mpaka sasa,kwa maelezo zaidi sikiliza RFA sasa,Je swali ni mchungaji gani alisafiri na sedekia?

Hivi watu mnapata wapi ujasiri wa kusingiizia watumishi wa Mungu maneno kama haya.? kama huyo mtu wa rfa hakutaja majina, inakuwaje unaconclude kuwa ni Sedekia na Mwakasege wakati mwakasege si mchungaji.? Msijitafutie laana kwa nguvu toka kwa Mungu.
 
Mkubwa hii sio siasa,nakumbuka kwamba late sedekia alifariki nje ya nchi akiwa na mchungaji(((Mwakasege source JF members))),nakama wewe ni mfuatiliaji wa kipindi cha sintosahau cha RFA story zake ni za kweli maana wana-investigate kwanza then wakishajidhihirishia ukweli ndio wanakuhoji,na jamaa amesema kabisa mchungaji alimtoa muimbaji wake na alichokifanya ni kutumia mbinu ya kusafiri nae!! Mwakasege vipi tena mbona hvyo?
Wewe umetumwa kama wale vijana wa buku 7 wa Lumumba unatunga maneno na kusambaza upande mwingine kwa malengo maalum. Usipende kutengeneza jina kupitia mgongo wa mtu mwingine kuhubiri siyo biashara.
 
sio siasa tuu nadhani ifike mahali watanzania tubadili utaratibu wetu tumezoea kikija kitu tunakiongea tunakijadili halafu kinapita kama upepo yaani hakina mwisho wala muafaka! Haya juzi juzi katokea mtu anadai yeye alizamisha meli leo huyu nae anadai sijui alikuwa kuzimu. Tuamkeni jamani tunaweza tukawa hatuna macho ya kiroho ila hata maarifa ya kawaida? Tunaangamia kwa kukosa maarifa! Tuwafuatilie hawa watu mpaka mwisho tujue nini chanzo cha haya yote na nyuma ya pazia kuna nini.

Nikweli kabisa Hawa watu wanatakiwa kuchukuliwa hatua maana wanaipotosha Jamii,
 
Ni maswali mazuri. Chochote kinawezekana.

Wenye taaluma zao kina LambaLamba na ManyauNyau wanaweza kutusaidia kwa hili.



Hawana jipya hawa

Walituongopea suala la Kanumba mpaka kesho
unajua hayo mambo ukiyafuatilia sana kama
una pesa zako unaweza firisika.

Huyo kafa hata huyo anayesema hajafa nae
atakufa hata kama ni kweli/uongo lakini
huyo Mch nae pia muda wake utafika atakufa.
 
ushauri kwa wana jf wote na hasa wachangiaji wa thread hii,KILA MMOJA NA ASIMAMIE IMANI YAKE PALE ALIPO.STORI HII INAWEZA IKAWA KWELI AU UONGO VILE VILE.CHA MSINGI ANGALIA UNAAMINI NINI,VITU KAMA HIVI HUYUMBISHA IMANI ZA WATU SANA.
 
Inachukiza watu waovu kutumia dini kama kivuli hali wanatenda maovu!
 
Wewe umetumwa kama wale vijana wa buku 7 wa Lumumba unatunga maneno na kusambaza upande mwingine kwa malengo maalum. Usipende kutengeneza jina kupitia mgongo wa mtu mwingine kuhubiri siyo biashara.

Kama kutumwa atakua ametumwa yule mzungumzaji wa RFA na sio mimi mie nime-share tu nilichosikia,kama hauamini jamaa ameweka namba mpigie upate uhakika wewe kama wewe.
 
Hata yeye!!!!

Ndo maana haya makanisa sadaka siyapendi kabisa,hakuna maaskofu siku hizi wala wachungaji,huku mwakasege kule mzee wa upako hapa kakobe eheee nimeyachukia sana haya makanisa,eti hayataki sadaka ndogo ona yanapotupeleka,yachomwe tu,nasema yachomwe tumechoka
 
Jamani tuwe makini na hawa watu tunaowaita kwenye studio zetu kabla hawajaenda public.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom