Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

Nasikiliza RFA,kuna jamaa wanamuhoji amekiri kabisa,kuna mchungaji alimtoa kimiujiza mwimbaji injili wake,techniq aliyotumia huyu mchungaji ni kusafiri naye na kumtoa huko huko,huyu jamaa amekiri kabisa kwamba sedekia yupo kwa mizimu kimiujiza mpaka sasa,kwa maelezo zaidi sikiliza RFA sasa,Je swali ni mchungaji gani alisafiri na sedekia?

Mimi ni miongoni mwa watu wa mwisho kuagana na marehemu sedekia kabla hajaenda Israel. Nafahamu kwamba tangu mwanzo alikuwa anasumbuliwa na kisukari. na si yeye tu bali kwenye familia yao kuna hiyo shida. madaktari wanajua kuna kisukari cha kurithi. Mwalimu mwakasege hafundishi magumashi kama hawa manabii na mitume wanaoshindana kununua hammer! trust me huyo anayeshuhudia mlete hapa na tutambana atuambie ametumwa na nani! kifo cha sedekia it was 100% from kisukari na malaria. Madaktari walikuwa wanatibu kisukari wakati complication ya malaria ilipojitokeza ghafla. Watanzania wengi hatuna tabia ya kucheki afya na hasa malaria na BP. Wivu wa kijinga hauwezi kuua huduma muhimi ya Mungu kwa kutumia Mwalimu Mwakasege.
 
Mmenikumbusha Habari ya 80's eti Edward Sokoine Aafa anaonekana kwenye bunge karimjee eti kuna mtaalamu alienda ikulu kuomba amrudishe Nyerere akamkatalia kwa kisingizio kuwa yeye kama rais ameisha utangazia ulimwengu kuwa waziri wake mkuu amefariki hivyo dunia itashindwa kumuelewa!Hata mimi kipindi hicho niliamini kwani nilijua Nyerere anachokisema ni chaukweli hawezi kudanganya kwani wengi tuliamini mamayake alikuwa mchawi alikuwa akimwambia kila kitu,kwani tulijua hata vita yakagera alionekana eti kwenye kifaru msari wa mbele!Mambo nimengi ya kusadikika hata Filbart Bay tulijua ni mchawi eti wazungu hawakumuona yeye alikuwa anakimbilia kwenye uzi ndiyo maana alishinda kakuvunja rekodi!
Hivyo na haya ni yakusadikika kwani ukitizama nikutafuta mahali pakutokea!
 
Ikiwa ubongo wako ni mkubwa prove it wrong sio kukosoa tu

ni sawa na kumwambia aonyeshe mbele au nyuma ya mti! Ha ha hata awe na ubongo mkubwa kama wa tembo hataweza. Mambo ya Imani yanahitaji Hekima sana kabla ya kuchangia.
 
Ifike wakati serikali iingilie kati izi kauli HOVYO zinazotolewa na waganga njaa kama hawa.
Maana last week tuu mtu anasema yeye ndo aliangusha Meli pale Nungi ili kupata damu za watu
Kwa taarifa tuu Mwakasege Chriss ni Mwalimu sio Mchungaji
 
Kama mchungaji na askofu gwajima likuwepo na kukiri ameenda kwa baba
kama mlimchukua asingekatiza kwa jamaa pale sheikh amri abeid mngeiona marekani nawaambia

kama umechukuliwa mizimu kupita kwa huyu askofu ni ndoto....nakueleza kwa ushahid mkuu nenda tanga wakwambie
 
Aisee bado mnaendelea tu kumpelekea sadaka mjanja wa mazingaombwe ya Nigeria
 
Leteni hoja za msingi sio upumbavu kama huu. Nchi ina mambo kibao ya kujadili na kupigania we unatuletea habari za uchawi ambao hauonekani ss wenye akili hatuamini huo utumbo wako. Kajadiliane na mkeo au mumeo habari hizo za kipuuzi.

ur reasoning capacity is very low! Yaani huoni kama ni jambo la muhimu? Unaliita utumbo? Haya upikie ndizi mjifingie ndani na mkeo mle. Msisahau na zanzi
 
Unapokuwa na juhudi za kuchuma dhambi na laana kwa kuropoka juu ya watumishi wa Mungu iko siku yatakukuta uwe tayari kuja kupokea malipo, jua kwamba utasimama peke yako! Hakuna mwanadamu anayekusapoti ujinga leo atakayekuwepo kukutetea. ONYO MAMBO YA IMANI YATATUE KIIMANI KAMA UNAJUA UKO UOVU USIUTUKUZE WALA KUUPA SANA PROMO, MWOMBE MUNGU AKUSAIDIE. Kinachowasumbua wengi wanaweka imani ktk watu, wakati YESU ALISEMA " COME UNTO ME AND I WILL GIVE YOU REST". IKO SIKU HATA KAMA ITACHELEWA MUNGU ATAHUKUMU. Lakini OLE KWAKO, OLE KWANGU.
 
Kwa hiyo mleta thread hii, hospital ya nchini Israel 05/January/ 2009 ambapo Marehemu Fanuel Sedekia alifariki walitoa cheti cha kifo feki?

Mashirika ya ndege yaliyobeba mwili wa Marehemu nao walibeba kitu kingine na siyo mwili wa Marehemu Sedekia? Pia mazishi / kumuaga marehmu tazama hii linki YOUTUBE : Arusha mourns Gospel star - YouTube.

Jibu rahisi ni kuwa hayo mazungumzo ya redio RFA yalikuwa kama ya gazeti letu-pendwa la Globo na hayana nafasi ya kuaminiwa na great-thinkers wote wa jamii forums.
 
Unapokuwa na juhudi za kuchuma dhambi na laana kwa kuropoka juu ya watumishi wa Mungu iko siku yatakukuta uwe tayari kuja kupokea malipo, jua kwamba utasimama peke yako! Hakuna mwanadamu anayekusapoti ujinga leo atakayekuwepo kukutetea. ONYO MAMBO YA IMANI YATATUE KIIMANI KAMA UNAJUA UKO UOVU USIUTUKUZE WALA KUUPA SANA PROMO, MWOMBE MUNGU AKUSAIDIE. Kinachowasumbua wengi wanaweka imani ktk watu, wakati YESU ALISEMA " COME UNTO ME AND I WILL GIVE YOU REST". IKO SIKU HATA KAMA ITACHELEWA MUNGU ATAHUKUMU. Lakini OLE KWAKO, OLE KWANGU.

Msikilize aliyesema yupo live anaitwa ben.
 
jamani hivi haya mambo huwa ni kweli ni mpango wa watu fulani ili ku drive mob psychology ya watu kuelekea sehemu fulani kwa mfano je ni kweli kwa muumini wa kweli

wa madhebu mengine ambayo siyo ya kilokole kama vile wasabato na waisla

mu wachawi wanaweza kuingia? na je tunaweza

kuthibitisha haya yanayosemwa na huyu jamaa sasa hivi kupitia RFA
 
Kama mchungaji na askofu gwajima likuwepo na kukiri ameenda kwa baba
kama mlimchukua asingekatiza kwa jamaa pale sheikh amri abeid mngeiona marekani nawaambia

kama umechukuliwa mizimu kupita kwa huyu askofu ni ndoto....nakueleza kwa ushahid mkuu nenda tanga wakwambie

Hapa ulikuwa unanena kwa lugha?mbona sikuelewi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wewe acha kupotosha,kasema ni mchungaji mkubwa,ndiyo,kasema kachukuliwa,ndiyo. Lakini hakusema kuwa alisafiri naye na kumtoa wala hakusema mwimbaji wake,na wala hakumtaja Sedekia.
Jamani wapendwa tusinyooshee watumishi wa Mungu vidole, yeye Mungu mwenyewe ndiye aonae ya sirini.
 
Watanzania watu wazuri sana hata kama MTU ana pepo kichaa zikitulia wanamsikiliza na kuandika na kushirikishana na kupoteza muda kujadili kilichoongelewa na pepo.MTU akikosa umaarufu anatafuta uzushi wowote ajulikane kwa sababu siasa imekaba mpaka penalt zote za umaarufu.sasa huyu hajui kusoma umaarufu ataupata wapi hilo ndo eneo lake la ubunifu wake hadi ameingia Jf kwa (GT) na anajadiliwa!
 
Tuwafuatilie wapi haya ndo makanisa ya MISUKULE ,Namini sedekia alikuwa anamtegemea MUNGU WA IBRAHIM asingeweza kuchukuliwa msukule katu.
sio siasa tuu nadhani ifike mahali watanzania tubadili utaratibu wetu tumezoea kikija kitu tunakiongea tunakijadili halafu kinapita kama upepo yaani hakina mwisho wala muafaka! Haya juzi juzi katokea mtu anadai yeye alizamisha meli leo huyu nae anadai sijui alikuwa kuzimu. Tuamkeni jamani tunaweza tukawa hatuna macho ya kiroho ila hata maarifa ya kawaida? Tunaangamia kwa kukosa maarifa! Tuwafuatilie hawa watu mpaka mwisho tujue nini chanzo cha haya yote na nyuma ya pazia kuna nini.
 
"ENYI WAGALATIA MSIO NA AKILI NI NANI ALIYE WALOGA"....................
kwani ni watu wangapi wameshakufa wakiwa mbali na nyumbani (safarini,ziarani...), leo Mpendwa wa Mungu kachukuliwa unakuwa na mashaka na kifo chake?!!!!
Swali: WE unajua utakufa lini na utkufa kifo gani na mahali gani?.... "JIKUBALI"
 
Najiuliza sedekia hakua mtumishi au alikua?kama alikua mtumish wa mungu na anaroho mtakatifu anawezaje kuchukuliwa kuzimu?basi nae hakua na mungu pili hatuna uthibitisho na yasemwayo na kama mungu ameruhusu basi sawa maana alikua na uwezo wa kuzuia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom