SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Tuwafuatilie wapi haya ndo makanisa ya MISUKULE ,Namini sedekia alikuwa anamtegemea MUNGU WA IBRAHIM asingeweza kuchukuliwa msukule katu.
Kwani RFA ni Kanisa?
Tuwafuatilie wapi haya ndo makanisa ya MISUKULE ,Namini sedekia alikuwa anamtegemea MUNGU WA IBRAHIM asingeweza kuchukuliwa msukule katu.
Mtumishi wa mungu wapi bhana? Huyo ni mfuasi wa Shetani tu, watumishi wa mungu walisha pitaga zamani nazama zao hazipo tena. Ukimuona mtu anajiita mtumishi wa mungu jua anamtumikia Lussifer huyo.
Sidhani kwamba yupo kibiashara kwasababu jamaa anaelezea jinsi alivyopitia katika kutafuta utajiri kwa njia za mizimu na amesema kabisa baadhi ya wachungaji na wafanyabiashara wakubwa wamo ila mtangazaji akamsisitiza asiwataje,kwa uhakika zaidi unaweza ukapiga RFA na kuchukua namba yake na kumuhoji personally.
Nasikiliza RFA,kuna jamaa wanamuhoji amekiri kabisa,kuna mchungaji alimtoa kimiujiza mwimbaji injili wake,techniq aliyotumia huyu mchungaji ni kusafiri naye na kumtoa huko huko,huyu jamaa amekiri kabisa kwamba sedekia yupo kwa mizimu kimiujiza mpaka sasa,kwa maelezo zaidi sikiliza RFA sasa,Je swali ni mchungaji gani alisafiri na sedekia?

Mimi ni miongoni mwa watu wa mwisho kuagana na marehemu sedekia kabla hajaenda Israel. Nafahamu kwamba tangu mwanzo alikuwa anasumbuliwa na kisukari. na si yeye tu bali kwenye familia yao kuna hiyo shida. madaktari wanajua kuna kisukari cha kurithi. Mwalimu mwakasege hafundishi magumashi kama hawa manabii na mitume wanaoshindana kununua hammer! trust me huyo anayeshuhudia mlete hapa na tutambana atuambie ametumwa na nani! kifo cha sedekia it was 100% from kisukari na malaria. Madaktari walikuwa wanatibu kisukari wakati complication ya malaria ilipojitokeza ghafla. Watanzania wengi hatuna tabia ya kucheki afya na hasa malaria na BP. Wivu wa kijinga hauwezi kuua huduma muhimi ya Mungu kwa kutumia Mwalimu Mwakasege.
Ben(Aliyeishi kuzimu) awaumbua manabii wa uongo,utawatambuaje? Sikiliza RFA.
Nyoooooo uongo mtupu yani nikimkamata huyo mshenzi mwongo mkubwa atanitambua.
Ben(Aliyeishi kuzimu) awaumbua manabii wa uongo,utawatambuaje? Sikiliza RFA.
Anaitwa mchungaji Antony lusekelo mzee wa upako nikama a.k.a Yake tu,na kuna tofauti kubwa sana Kati ya mwalimu na mchungaji,Mwakasege ni mrutheran Hana kanisa lake Bali anasali Kama muumini wa kawaida tu.] [VIZURI SANA.]