Laptop ya JK yatoweka kiutatanishi!

Si mpaka iwe na encryption....

....yawezekana ilikuwa na 4-bit encryption level kama hapa chini:
steved-albums-mh_pinda-picture172-combination-lock-laptop.jpg

 
Nilifikiri state house ni sehemu yenye first class order, yani hata sindano haiwi misplaced,kumbe am damn wrong? Mwisho tutaambiwa ripoti za tume zimekuwa misplaced.
 
Dataz ilizopata so far ni kwamba hiyo laptop haijaonekana mpaka sasa na jamaa wa uwt wamemwagika mitaani wakifuatilia wapiga dili za namna hii hapo town. Inasadikika kwamba hii ilipotea katika hki kipindi ambacho muungwana alienda AR.
 
Well, siku mmoja mtaamka na kusikia Rais kapotea na hajulikani aliko na watu wa Usalama hawatajua wamemficha wapi. Salva atatokea na kusema "we are still looking for him, he has not disappeared as reported by some mainstream media. We can confirm however that he is temporarily out of sight"...
 
Dataz ilizopata so far ni kwamba hiyo laptop haijaonekana mpaka sasa na jamaa wa uwt wamemwagika mitaani wakifuatilia wapiga dili za namna hii hapo town. Inasadikika kwamba hii ilipotea katika hki kipindi ambacho muungwana alienda AR.


isipopatikana nitamwomba rais areshuffle au kuwatema safu yote ya ulinzi kuanzia boss wao.....na adhabu kali juu yao. This is to prove hali ya usalama wa nchi ni tete.
 
kwanza kwa nini raisi anahitaji kuwa na laptop? anafanya nini na hiyo laptop?

He is a marketer!! Hes is marketing Tanzania kwa hiyo anafanya mapresentation kabla ya safari au akiwa safarini....He is really good in powerpoint presentation as i hear rumours say!!!!!!

kwi kwi kwi kwi.....
 
Kuna tetesi za kuaminika kwamba kompyuta ya mapajani (Laptop) ya mkuu wa kaya imepotea katika mazingira ya kutatanisha.

Salva karibu for comments................

Ukute hata backup ya data zake hana... kwi kwi kwi kwi kwi
 
Ohh kumbe ilikuwa ni zawadi kwa yule mwanae aliye mu adopt..ohh afadhali.Kwani kumuhe muhe kingekuwa uko kwa ikulu mpaka salva angesema.
 
Sikujua kama bodigadi wa rais anadabo pia kama porter! Ameibiwa laptop? Kilichobaki sasa ni kusikia katapeliwa kwenye karata tatu!
 
JK ana laptop? na kile ki dog eared notebook (real notebook, not computer) amwachie nani?
 
Miye nadhani kuna mtu anataka kuonesha tu laxity of "our" security system .. ila tusishangae maana hata wakubwa wenyewe walishawahi "kumisplace" laptop pale Los Alamos..
 
Msimshambulie sana shy, huenda hii laptop kishaikagua na kuona kuna nini ndani na ndio maana amehitimisha kwa kusema hamna kitu. Mnakumbuka kuwa huyu ndio huwa anatutahadharisha kuhusu wizi kila mara na pia aliishafanya research ya wezi wa laptop na kutuwekea majina yao hapa au mmesahau wana JF?
 
Back
Top Bottom