Laptop ya JK yatoweka kiutatanishi!

Hakuna la maana mule kwenye laptop ya muungwana sana sana kuna picha za mwanawe za harusi...
 
Kutokana na Maelezo ya watu wa karibu Laptop yenyewe imejaa bongo flava na movie za utamu, ambazo Mh huwa anasikiliza na kutizama akiwa safarini. Hivyo haina athari yoyote katika uongozi na usalama wa nchi.

Hiyo yawezekana kabisa ni DVD player!!! Kama imeibiwa najua hata mwizi anafurahia movies na bongo flava za kufa mtu!

Ila tu hii itamaanisha ulinzi haupo kabisa kwa mukulu wetu!
 
Sio rahisi hata kidogo na hata kama imechukuliwa wewe uliyechukuwa usitegemee kupata chochote kipya toka katika laptop hiyo hakuna lolote la maana -- watu wa usalama wanajua hilo

We ni nani kukataaa hilo.....unakataa kwa sababu unakataa au kwa sababu wewe ni mwana usalama...kupata kipya wanaweza kupata hata hard disk mpya ambayo haijatumia..
 
Jamani,hata Ikulu ya Mkapa ilipoungua, kulikua na maneno mengi. Na sasa sidhani kama kuna tofauti yoyote ya tukio la moto wa Ikulu na hili
 
Jamani,hata Ikulu ya Mkapa ilipoungua, kulikua na maneno mengi. Na sasa sidhani kama kuna tofauti yoyote ya tukio la moto wa Ikulu na hili
Mkuu unafikiri Jk anaweka vitu vya maana mule zaidi ya Movie....yeye analia na maIT expert wa Ikulu wamuongezee RAM ajaze crips zaidi.
 
Mama, anao watoto wadogo, mmoja au wawili nadhani ni adopted.

Nisije nkasutwa kama wanavyosutwa wa'iringa'

ngoja nikunong'oneze wewe tu wengine wasisikie..... eti nimesikia kale katoto aliko ka'adopt ni ka kwake alikazaa alipokuwa anacheza huko nje ya nyumba yake ss ili kukachukua akamwambia mazeri akakaweke mburahati na yeye atajifanya kuka'adopt..... hivi ni kweli?

i hope wengine hawajasikia nimekunong'oneza wewe tu si unajua!
 
Utamaduni wala hilo siyo siri kila mtu alijua, hadi kuna watu walikuwa wanahojiwa kwenye redio siku ya bethiday ya Jk wakakebehi kweli kwamba mama salma ana jicho kali kweli kaenda kituo cha watoto yatima kachagua katoto kenye sura zinazo fanana na wake ili wakiwa wote kasitofautiane nao!

na pengine hiyo laptop ilijaa picha za hako katoto, si unajua kiziwanda kwi kwi kwi ...
 
Daaah nilikuwa naogopa kumbe kweli!

raha sana kuwa na rais chapachapa, halafu shida ni hivyo vitoto vyake vitundu kupitiliza, ona sasa wamemuibia laptop wkacheze game. shida sana
 
Jamani,hata Ikulu ya Mkapa ilipoungua, kulikua na maneno mengi. Na sasa sidhani kama kuna tofauti yoyote ya tukio la moto wa Ikulu na hili

Let these ikulu people stop thje lame excuses about this. We are talking about kompyuta ya rais na si kifurushi chja masanja kilichosafirishwa kwa dar express
 
Mkuu Halisi, ninakuaminia tuletee dataz zaidi on this! Maana jamaa kwa carelesness sidhani kama kuna anyemzidi duniani.na hizi ni zake za kawaida.
 
Wana-JF msilete utani hapa kama kweli laptop ya mkuu imeibiwa msishangae kuambiwa majina ya watuhumiwa wa EPA yalikuwa kwenye Laptop....Kuna kipindi mishahara ilichelewa kisa processor ya server ilikufa sasa huwa najiuliza na ninaomba kama kuna m2 analifahamu vizuri anifafanulie ilikuwaje mpaka ikachukua muda mrefu kutatuliwa au hiyo procesor ya hiyo server hapa bongo hakuna na je hakukuwa na njia nyingine ya kuwalipa watu mishahara yao na je server ya mishahara ya wizara nzima haina server mubadala!?... maana nakumbuka waziri mwenye hiyo wizara alionekana kwenye runinga akitoa sababu ya kuchelewa kwa mishahara kuwa ni processor .....
 
i61_BodyguardAssistant.jpg

Mlinzi wa Rais ndio huyo huyo anabebeshwa masanduku na ma laptop. Ndio maana yanapotea. Au huyu mwanajeshi ni nani hasa hasa ?
 
Attachments

  • Bodyguard-Assistant.jpg
    Bodyguard-Assistant.jpg
    65.9 KB · Views: 181
Last edited by a moderator:
View attachment 2725

Mlinzi wa Rais ndio huyo huyo anabebeshwa masanduku na ma laptop. Ndio maana yanapotea. Au huyu mwanajeshini nani hasa hasa ?

Mkuu nimekubali......mlinzi kawa Personal Assistant to President!!! Bila shaka huyu jamaa yawezekana anapoteza vitu kila akienda safari!!

hii laptop ndo inaonekana imemuuma sana maana alitoka kudownload movies mpya!!
 
Watanzania;

Hii tetesi mbona imekaa kisanii sana? are you guyz serious au ndio gumzo-gumzo?

siamini kwa kweeri!!
 
Back
Top Bottom