Laptop ya JK yatoweka kiutatanishi!

PM,
Wewe si wakawaida, huyu mkwele mbona unamnyanyasa hivyo au mna utani kwi kwi kwi kwi
Jasusi sina cha kuongeza ha ha ha maana hii sasa naona ni movie.
 
Nashangaa huyu mpambe kubeba mizigo mizito namna hii. Je Muungwana akipungukiwa maji na kutaka kuanguka nani atamzuia, maana huyu mpambe ataacha kipi hapo mizigo hiyo au atamwacha kwenda chini.
 
Kumbe nyie hamjajua kwanini anabebeshwa hako ka briefcase na laptop... remember yule wa Bush huwa anabeba nini? Huyu wa kwetu na yeye anataka kujionesha anatu "code" fulani fulani hivi..
 
Nilichojifunza kutokana na thread hii ni kwamba sasa, kuliko wakati mwingine wowote, IKULU yetu inavuja kila mahali kuanzia kwenye paa, kuta, sakafu,....
Habari hii ya kupotea kwa laptop ya Rais wetu imefikaje humu?
 
isipopatikana nitamwomba rais areshuffle au kuwatema safu yote ya ulinzi kuanzia boss wao.....na adhabu kali juu yao. This is to prove hali ya usalama wa nchi ni tete.

Mama;

Acha kabisa, nchi haitawalalika
 
kwanza kwa nini raisi anahitaji kuwa na laptop? anafanya nini na hiyo laptop?

Yes, anahitaji kureview reports za Ngeleza, Seleki (DPP), Hosea na Daily News kabla hazijatoka. Muda c mrefu atakuwa MOD wa JF na pia Kubenea akitoka jela nae atakuwa mhariri.
 
This is now terrible.Usalama wa Mheshimiwa upo matatani.Kwa hili kamati ya bunge ya usalama wanashauri nini? Mi naona asitoke ikulu kabisa
 
Nashangaa huyu mpambe kubeba mizigo mizito namna hii. Je Muungwana akipungukiwa maji na kutaka kuanguka nani atamzuia, maana huyu mpambe ataacha kipi hapo mizigo hiyo au atamwacha kwenda chini.


Bubu, umesahau hata alipokenda kuhutubia bunge jamaa ndo alikuwa amembebea hata ile hotuba!
 
This is now terrible.Usalama wa Mheshimiwa upo matatani.Kwa hili kamati ya bunge ya usalama wanashauri nini? Mi naona asitoke ikulu kabisa

Wewe sasa you are overexagerating?Kwa hiyo akialikwa Bolivia na Evo Morales asiende?
 
Hahaha kazi ipo jamani..kwaniini visipotee vitu vingine vidogo vidogo lazima laptop?maana najuaa kuwa wanaweka kwenye sanduku kubwa moja....ambalo likipotea maana yake vitapotea vitu vingi sanaa.....hata camera personal...ipod etc...kuna namna hapoo
 
Kumbe nyie hamjajua kwanini anabebeshwa hako ka briefcase na laptop... remember yule wa Bush huwa anabeba nini? Huyu wa kwetu na yeye anataka kujionesha anatu "code" fulani fulani hivi..
Mwanakijiji,

Haijalishi waibe hiyo laptop ama wafanye nini, maamuzi ya JK juu yao (unawajua) yatabaki kuwa yale yale. Subira yetu watanzania ipo pale pale, hatua dhidi yao zionekae wazi na kuirejesha imani ya wananchi kwa kiongozi wao wa taifa!

Almost a week left!
 
Du hii kali..ila kuna wezi proffesional maana mzee wa kichaka aliwahi kuibiwa saa na secret service walihaha lakini hawajaipata mpaka leo wala kufahamu ilivyoyeyuka labda ossama alimbeep...
 
Nashangaa huyu mpambe kubeba mizigo mizito namna hii. Je Muungwana akipungukiwa maji na kutaka kuanguka nani atamzuia, maana huyu mpambe ataacha kipi hapo mizigo hiyo au atamwacha kwenda chini.

Yule ni ADC, (Aide-de-camp-- French for camp assistant) is a personal assistant, secretary, or adjutant to a person of high rank, usually a senior military officer or a head of state. The first aide-de-camp is typically the foremost personal aide.
 
Sio rahisi hata kidogo na hata kama imechukuliwa wewe uliyechukuwa usitegemee kupata chochote kipya toka katika laptop hiyo hakuna lolote la maana -- watu wa usalama wanajua hilo

Shy mie nina mashaka na wewe kuwa ni mmoja wa hao "usalama wa taifa" hii inatokana na uchangiaji wako wa mada. Ningependa kukushauri ili uwe na ufanisi wa kazi yako uende shule na kama umeenda basi yawezekana wewe ni ule uzao wa kununua mitihani na vyeti.Juu ya kuwa nina elimu ya kidato cha nne kutoka katika shule za kikabwela lakini hunifikii kwa kitu kinaitwa "thoughts" mtu mzima na akili yako huwezi kukurupuka na kuwaza jambo usilolijua unless theres inside man who briefs u. Tunaomba tueleze kama hakuna kitu chochote cha maana kuna nini hasa?
 
Sio rahisi hata kidogo na hata kama imechukuliwa wewe uliyechukuwa usitegemee kupata chochote kipya toka katika laptop hiyo hakuna lolote la maana -- watu wa usalama wanajua hilo

Shy upo au unafeel shy kujibu maana utaendelea kujikanyaga zaidi?
 
sasa si umeshajibiwa na members wengine kwamba kuna picha na movie za kibongo ? sasa tujiulize kama hizo picha na movie za kibongo ni pirated au amenunua kihalali ndio tuanze mada ingine kumbe nae raisi ni ??
 
Shy mie nina mashaka na wewe kuwa ni mmoja wa hao "usalama wa taifa" hii inatokana na uchangiaji wako wa mada.


hahaha angekuwa mmoja wao basi ingebidi tusalimu tu amri. Yeye ni mchangiaji tu na anajaribu kujua mambo mengi; ila yawezekana anapenda kutoa hiyo impression ya kuwa mtu wa usalama au aliye karibu na watu wa usalama ambayo yawezekana ni hamu yake. Vinginevyo, ni mtu anayechangia nje ya collective mind ya baadhi yetu hapa.
 

you are very right steve...mara nyingi mabosi wengi hukazania kusisitiza lap top zao zilizojaa vumbi ziwekwe mafaili yote muhimu ya ofisini........hii ni hatari anaweza hata kukutana na mwanamnke kumbe ni agent akayahamishia yote kwenye flash....huyoooooooooo.......computer pia inaweza kuwa chanzo cha siri nyingi za ikulu kuvuja..

mzee wa lupaso yeye upande wa kutunza siri alikuwa amefuzu ..nadhani hata lap top yake ilikuwa haifunguki bila password.....you know what..kile kitabu cha "UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA"...yeye ndiye alichapa kila kitu na ku save...na hakikuwahi ku leak hadi kilipotoka .....na alienda kuchapishia zimbabwe..hii ni pamoja na ulevi wake pale texco au etienes hakupata kumweleza yeyote....

my take is sio rahisi mtu wa kawaida kuiba lap top ya rais ..nakubaliana na wewe kuwa inaweza kuwa imesheni taarifa nyeti sana kiasi vijana wa UT wakaona bora waiibe waifiche isije ikaangukia mikononi mwa mahasimu wake wakapata silaha ya kumwondoa [hii ni kwa kumsaidia bosi wao]

Who is Mzee wa Lupaso?
 
Back
Top Bottom