britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,214
- 41,798
Mhmhhh hiyo balaa.hivi hii nchi ina ulizni kweli
Mhmhhh hiyo balaa.hivi hii nchi ina ulizni kweli
Mhanga hajaanza kupoteza kumbu kumbu!!?
Hii comment ililenga kufufua huu uzi au kuna lingine! Nachojaribu kuwaza ni kwanini uzi wa 2008 unataka ufufuliwe leo?
Dah!...Ila hii post niyazamani sana 2008 kipindi nilikuwa nasoma DRS la kwanza mtoa post ni mzee sasa
Kwahiyo umeacha shule?Ila hii post niyazamani sana 2008 kipindi nilikuwa nasoma DRS la kwanza mtoa post ni mzee sasa
Nishamaliza mkuu.Kwahiyo umeacha shule?