Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,202
- 218
sasa hapo ndio umesema nini na wewe ? mod futa alichoandika hosside na punguza hizo thanks
Au shy ameishukua yeye nini? mbona amekataa kama anayo yeye vile
View attachment 2725
Mlinzi wa Rais ndio huyo huyo anabebeshwa masanduku na ma laptop. Ndio maana yanapotea. Au huyu mwanajeshini nani hasa hasa ?
august naweza kuongelea mambo ya usalama na ulinzi kwenye ulingo wa ICT na sio zaidi ya hilo kwahiyo usipindishe mada unaona watu wangapi wanafuatilia mada hii ?
Jamani,hata Ikulu ya Mkapa ilipoungua, kulikua na maneno mengi. Na sasa sidhani kama kuna tofauti yoyote ya tukio la moto wa Ikulu na hili
..lap top ya jk haiwezi kuwa na chochote zaidi ya family album.......na kutumia kuchezea karata..kwa namna jk alivyo kilaza siwezi kuamini kama anaweza kufanya chochote productive kwenye lap top yake.....huwezi kulinganisha uwezo wake wa kutumia computer na wa mkapa ambaye hata barua zake sensitive za uteuzi ,kuoanga baraza ,speechesetc alikuwa anaandika mwenyewe na kusave kwenye lap top yake na kuprint na kuwapa maelezo siku anayotaka zitangazwe....ndio maana teuzi zake zilikuwa hazivuji!!..pia ana speed sana kwenye computer kutokana na background yake....
Huyu jk mamabo yake mengi inaonekana anaandaa rough na kumpa msaidizi achape au sometimes anatoa verbal maelekezo ...na kumwacha msaidizi kupanga content...na wala hatafanya editing...kanyaga twende!
Lap top alikuwa anachezea karata tu hiyo....it has nothing specified!
Sawa Phil you might have a very valid point. However, the contrary could also be true. For one and only one reason; watu wasiojua computer au kupendelea mawasiliano ya computer kama jinsi ulivyoelezea hapo juu, ndiyo hao huwa wanarundika kila aina ya ma-file kwenye computer zao. Wanayaacha unorganised and unprotected. Whereas, yule anayejua au kutumia computer sana, uwezekano ni kuwa anaenda na wakati. Ya kwamba, hata ukiichukua computer yake unaweza usiambulie kitu... maana amejikinga through safe usage. Ma-file sensitive ana delete au ana encrypt, na sehemu ambapo anaona kuna risk kubwa basi hatumii computer kabisa. Just my observation, thanx.
SteveD.
watoto wa rais bwana, wanadokoa laptop na sio coins za mia mia au kulamba sukari.