Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,858
- 88,474
Mahi usicheke top za afu tatu yani nimecheka ila watani zangu wasukuma hawajawahi kufeli kwenye kuchekesha raia haijalishi ni wapi? 😹😹😹😹
Mahi usicheke top za afu tatu yani nimecheka ila watani zangu wasukuma hawajawahi kufeli kwenye kuchekesha raia haijalishi ni wapi? 😹😹😹😹
Kwahiyo hapo ndio umenitukana?Poa, siwapendi kweli kweli mboga mboga.
Nyie ndo chanzo cha watu kuvaa malapulapu hadi maofisini wanashindwa kuafford nguo mpya hata ya mchina..!! 😹😹😹
Nitawakanyagia, mimi nishaishi cha ukucha na wahuni..!! 😹😹😹hahhahah
watakutafuta wakudunde
huogopi???
au na vitasa upo vizuri
Kwani unataka kutukanwa?Kwahiyo hapo ndio umenitukana?
watatii huu mwakaUdugu nilikumiss 😘
Ile siku tulipewa ban wote chezea sisi wewe..!!
Na jana nimewapelekea moto huko selfika mpk mods wamenipa ban kule..!!
Basi machogo yanajua yameniweza yanashinda yanabweka na milapulapu yao ya afu 3 hafu yalivyo maoga nasikia picha yamefuta 😹😹😹😹
Sasa kama huumii kwanini ufute picha ya top jomoooniii…!! Toka JF iumbwe na uzi wa selfika uwekwe kwa mara ya kwanza tumejionea dhambi ya fashooooooniiii 🤸♀️😹😹😹
Halafu humu kuna watu wanatuzeesha kutuita dada dada banah kumbe ni mashangazi zetu yani hawapishani kabisaa na umri wa baba zetu..!! Ukimix na mitopu yao basi akhaaa wagombania uhuru wa Afro Shiraz 😹😹😹😹
Napenda wewe unavyotukana CCM.Kwani unataka kutukanwa?
Mods nao sitaki nataka.Ankal umeiona second warning? Ya tatu ndio nitolee.. Chezeni kwa step😀😀😀
CCM siwatukani ila nawaambia ukweli.Napenda wewe unavyotukana CCM.
Halafu ni kila mwaka nawashikisha adabu basi tu hili balo jipya nalo linajaribu jaribu 😹😹😹watatii huu mwaka
aiseee
Sawa basi tutakukaribisha siku moja uje utuambie ukweli live bila chenga.CCM siwatukani ila nawaambia ukweli.
😹😹😹 Mmeacha utekaji na uuaji mpk mnikaribishe?Sawa basi tutakukaribisha siku moja uje utuambie ukweli live bila chenga.
Halafu ni kila mwaka nawashikisha adabu basi tu hili balo jipya nalo linajaribu jaribu 😹😹😹
Na washaanza kukaa kwenye line..!!
Washakaa wamebaki na maumivu mana mimi nawapa moja tu wamebaki wanaugulia kila uzi 😹😹😹hakyanan sijawah ona
ila wasamehe....
tayari washakaa kwa line
Kwani Uongo? 😹😹😹Umeshaanza.
😂😂😂
Inategemea na ntu na ntu.Kwani Uongo? 😹😹😹
Poa, siwapendi kweli kweli mboga mboga.
Nyie ndo chanzo cha watu kuvaa malapulapu hadi maofisini wanashindwa kuafford nguo mpya hata ya mchina..!!![]()



Udugu nilikumiss
Ile siku tulipewa ban wote chezea sisi wewe..!!
Na jana nimewapelekea moto huko selfika mpk mods wamenipa ban kule..!!
Basi machogo yanajua yameniweza yanashinda yanabweka na milapulapu yao ya afu 3 hafu yalivyo maoga nasikia picha yamefuta
Sasa kama huumii kwanini ufute picha ya top jomoooniii…!! Toka JF iumbwe na uzi wa selfika uwekwe kwa mara ya kwanza tumejionea dhambi ya fashooooooniiii
Halafu humu kuna watu wanatuzeesha kutuita dada dada banah kumbe ni mashangazi zetu yani hawapishani kabisaa na umri wa baba zetu..!! Ukimix na mitopu yao basi akhaaa wagombania uhuru wa Afro Shiraz![]()




Uduguu kwanini lakiniii??Mahi usicheke top za afu tatu yani nimecheka ila watani zangu wasukuma hawajawahi kufeli kwenye kuchekesha raia haijalishi ni wapi?![]()



Mods nao sitaki nataka.
Sasa mi nna madhara gani?
Halafu watu wenyewe wanasemea pembeni hata hawaji huku, huko selfika nna ban.
Vichaa wenyewe hata hawana mapya yote ya zamani. Wanasubiri mimi niwape topic ya kudiscuss.. km sasa hivi huko wanaongelea kuhusu blauzi yao ya afu tatu..!! Si umeona lakini ankal![]()


