Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,147
Tunawapima namna wanavyoendesha mambo yao.Mimi sipo kokote ila nasimama na wenye mapenzi mema na nchi yetu..!!
Waacheni hao wapinzani ili nao tuwapime wananchi msiwasemee sababu ni wapinzani wenu..!!