Lamomy japo sijui kwa nini ulipigwa Ban ili nimesikitika sana kipindi upo kifungoni juzi Kasongo wa Jf
ELI COHEN EliNyahu alikuomgele vibaya na kukukandia .
Mimi sikuvumilia Kasongo kupambana na mtu ambaye hayupo nikanunua ugomvi nikaanzisha bonge la Vagi refa alikuwa
secretarybird mpaka Kasongo akakimbia .
Kwa vile umerudi Kasongo
ELI COHEN sio wa kumuacha hivi hivi , mimi nitasimamia shoo ashughulikiwe kisasawa , japo kanikimbia na kuniIgnore baada ya mashambulizi yangu ila bado nina usongo na Kasongo