Mnajuana kwa vilemba😆Anafaa kwa matumizi ya binadamu.
Nje ya mada: Mlozi mwenzangu utafanya tuvurugane humu jamvini. 😁
Top za afu tatu zinabweka woow woow nyie mi sitaki..!!
Sasa si utafute nguo za kueleweka unavaaje matambara ya deki miaka hii jamani..!!
Btw nawapenda wana JF wote mwaamwaa
Mimi mmbea tu km unaumia na mimi hizo sio shida zangu meza wembe au kunya boga sina msaada..!!



Tutaachaje kupewa Ban, na ndio komesho la Waja wa JF.Naachqje ss
Si ndo nilikuja nikaona ban
Na coca duh
Awww ur back
mbona sielewi mnachoongea humu ? Lamomy ShesRise_1 Mshana JrHalafu ndio hawa 😹😹
Huyo anayebweka ni Huyo mwenye bagarashia 🤣😹😹
Sijui chochote mwaya 👍
sijawahi kujua this side of you🤣🤣🤣🤣🤣Top za afu tatu zinabweka woow woow nyie mi sitaki..!! 😹😹😹
Sasa si utafute nguo za kueleweka unavaaje matambara ya deki miaka hii jamani..!! 😥😹😹
Btw nawapenda wana JF wote mwaa 😘 mwaa 😘
Mimi mmbea tu km unaumia na mimi hizo sio shida zangu meza wembe au kunya boga sina msaada..!!
Nimerudi mama mtumishi, nilikumic pia.Awww ur back
Niliwamiss
sijawahi kujua this side of you
unaiweza shengesha aiseee
nilijua mboga saba....watakushika sharubu
au coca ndo kakuchachusha au hapa jukwaani tunapishana sana🥹


mahi diha, JF bila shengeshaa haikaiii hii. Lolmchakamchaka au siomahi diha, JF bila shengeshaa haikaiii hii. Lol
Haswaaa.mchakamchaka au sio
Poa, siwapendi kweli kweli mboga mboga.La momy mambo ;
Ila najua hupendi CCM.
😹😹😹sijawahi kujua this side of you🤣🤣🤣🤣🤣
unaiweza shengesha aiseee
nilijua mboga saba....watakushika sharubu
au coca ndo kakuchachusha au hapa jukwaani tunapishana sana🥹
Udugu nilikumiss 😘Tutaachaje kupewa Ban, na ndio komesho la Waja wa JF.
Yaan mie BAN nishazoea, najionea kawaida tu.
hahhahah😹😹😹
Nishinde kkoo na wazaramo nisiliweze shengesha? Nimezaliwa Amana nimekulia cha ukucha, sikuja mjini na fusso wala mbio za mwenge…!!
Thubutuuu sijaona chizi wowote wa kunishika sharubu, mi ndo mganga wao nawapunga mapepo wote hapa jukwaani..!!