Preach💪🏿Mbona nyie wananchi tukiwapima na kuwakosoa mnatuteka?
CCM hii nchi imewashinda basi tu mnalazimisha mambo..!!
😹😹😹 Unapataje nusunusu na wambea tupo jomooonii..!!Yaan sina raha hapa, habar nusunusu
Media uchwara mko wengi..!!🤣🤣🤣🤣 aiseee secretarybird demu wako anaakaangwa huku🤣🤣🤣
Ankal media uchwara nyingi, afu mi sitaki mahojiano na watu wanaovaa midabwada puliiiizzzzzz 😹😹😹
Watu wanapenda ubuyu wao waache wajidanganye hivo hivo kwamba hawajali kuonyesha micumer yao pm 😹😹😹hatariiii
Level niliyofikia hapa JF kuchachuana na makerubi ni kujidharirisha, mie huwa nadeal na Zumaridi mwenyewe.Watu wanapenda ubuyu wao waache wajidanganye hivo hivo kwamba hawajali kuonyesha micumer yao pm![]()



Na wanaitaka kweli nafasi ya kupelekwa mjini 😹😹😹Level niliyofikia hapa JF kuchachuana na makerubi ni kujidharirisha, mie huwa nadeal na Zumaridi mwenyewe.
Sipeleki watu Mjiniiii, na sitoiii kikiiiii atiiiii.![]()
Wee mzee tulia hujui mambo yalipoanzia. Acha kuhoji na media zako uchwara..!! 😹😹😹Depal na Fake p msiingie huo mtego, kaeni chini mpatane myamalize. Nyie ni marafiki yaliyopita si ndwele, gangeni yajayo
"Heri wapatanishi maana wao wataitwa wana wa Mungu" mathayo 5:9Wee mzee tulia hujui mambo yalipoanzia. Acha kuhoji na media zako uchwara..!! 😹😹😹
😹😹😹 Unapataje nusunusu na wambea tupo jomooonii..!!mods
Shida mods nawo wanafuta😹😹😹 Unapataje nusunusu na wambea tupo jomooonii..!!