Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
i miss you mentor
Iselamagazi som apolepole...........si kila king'aacho ni dhahabu.......ujumbe siyo huo ulioko kichwani kwako..........hili ni fumbo.......
haahaa haaa nice one i wish u 2 merry x-mass and happy new year my friend
ruttashubanyuma mpaka saizi umesugua wangapi kiongozi???? Shairi lako nimelipenda sana na kwa mwerevu haitaji msuli kulielewa.
By Rutashubanyuma![]()
![]()
Iselamagazi som apolepole...........si kila king'aacho ni dhahabu.......ujumbe siyo huo ulioko kichwani kwako..........hili ni fumbo.......
Je wa kizungu pia ni hivyohivyo mkuu??
To be honest, Mpwa wangu Rutashubanyuma ilibidi nimuite my wife wangu tuulizane kidogo, ok tukiacha jokes, nimeshangazwa na comment za watu hapo mwanzoni kwa kukuhukumu..........aaaahh jamani JF itabaki kuwa JF na sisi na nafsi zetu tutabakia hivyo hivyo kadhalika..........usiwalaumu, lete mashairi kaka