Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
kha God forbidmsimu huu umekuja vibaya sana....ubane wanisumbua hivyo niko kwenye harakati za kusaka familia mpya....
kha God forbidmsimu huu umekuja vibaya sana....ubane wanisumbua hivyo niko kwenye harakati za kusaka familia mpya....
kha God forbid
nilipofungua thread na kuona wewe ndo uloanzisha jibu langu nimelihifadhi..........
Kiseme ulichoulizwa mkuu!
Chozi la maumivu
Kuwasha taa ili aweze kujihakikishia ni binadamu na sio......
Kuomba gemu tena, just to prove the problem was not her hormonal change with regards to her cycle......
Nini tena?? LOL
Neno ulilotumia mi sijalipenda, " kusugua"