Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Unasugulia dodoki ama sponge stone zile za mtoni?
Brush l suppose.
Out of topic.
Nani anatumika hapo, msuguaji au anayesuguliwa?
Nani muhitaji hapo?
Unasugulia dodoki ama sponge stone zile za mtoni?
Ebu heshimu hiyo signature yako basi!
Watundu wanazaliwa kila siku, na pia sio wote huzaliwa watundu, hivyo waigaji wataendelea kuwepo na wagunduzi wataendelea kuwepo!
Ila choice ya maneno yako, inazidi kucomfirm my assumption...
[MENTION]Kama shairi vile! Ukijipanga vizuri unaweza kua bonge la msanii
King'asti nakumbushia enzi zile ambazo nilikuwa bado wamo.sasa hivi nimchovu mno...............lol
Brush l suppose.
Out of topic.
Nani anatumika hapo, msuguaji au anayesuguliwa?
Nani muhitaji hapo?
King'asti nakumbushia enzi zile ambazo nilikuwa bado wamo.sasa hivi nimchovu mno...............lol
usuguaji mwema Rutashubanyuma.....hakikisha kila ukisuguacho kinang'aa.....
Vin Diesel nikisigua kinachong'aa sasa ili kiweje.........yabidi kiwe kimefubaa ili niking'arisha mwenyewe..............................Duh
bora umejistukia. Siku hizi tunauza maneno, unasifiwa hadi unanunua kimama koku. Kuna mdada mmoja ana affair na mume wa mtu. Anatuambia mumewe ana kibamia cha kinataifa, kama mtoto kabisaa. Wakati bado ana affair akakutana na kibamia kina tangazo la ndoa. Akachangamkia ndoa. Sasa akiigiza anavyomuibia mumewe na kibamia chake! Anamwaga misifa! Jamaa analipa bills tu hapo. Dada ana affair bado.
unakisugua kilichong'aa mpaka kinafubaa
Now that is the way to go. LOL
BTW ulijihakikishiaje kuwa walikuwa hawakudanganyi? Kama ni kwa kuomba game tena? Think again!
Kila mmoja chozi lilimdondoka!
Kila mmoja hakuamini kama ni mimi!
Wako walioamka kuwasha hata taa!
Kisa ni kuthibitisha kama kweli ni mimi!
Walidhani labda ni mwingine kabisa!
Wote walidai mechi za marudiano!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!