Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

[MENTION]
Gaijin[/MENTION] kichwani hakuna kitu ndugu yangu na ndiyo maana michango yake ni hasi.............[MENTION].Father of All[/MENTION]...................Kama hufahamu si uulize kama King'asti alivyofanya..................siwezi kukueleza maana tayari umekwisha kunihukumu......Be real man!

Kama crass ni crass tu hata ujibarauze vipi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kaunga

hebu jisomee hapa . Hii ni sehemu ya King'amuzi changu...........kina cheklist ndefu sana. Hawawezi kunirubuni nitawang'amua...........

Chozi la maumivu
Kuwasha taa ili aweze kujihakikishia ni binadamu na sio......
Kuomba gemu tena, just to prove the problem was not her hormonal change with regards to her cycle......
Nini tena?? LOL
 
Last edited by a moderator:
Kaunga When you are weak you are strong because the Almighty God intervenes for His own sake.....................mind u not yours..............................prefer to be weak but shout not............

So nisipokupinga, nakuwa si-shout eeh?
 
Last edited by a moderator:
Mimi sijui nilikuwa ninawafanyaje?
Mimi sikumbuki mambo yalikuwaje?
Mimi siyo kuwa najisifia hata chembe?
Mimi hii ni kumbukumbu zangu tu!
Mimi nimesahau mengi bali haya tu!
Mimi hili swali bado lanikwaza mno!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Wangelikuwa wanafahamiana ningesema..
Ya kuwa pengine wamepanga kunizuga..
Lakini wapi na wapi hawa makinda........
Kila mmoja safari yake huwa ni mpya
Na kipya lazima kiwe kinyemi kabisa......
Kama hawafahamiani mbona lao moja?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Kila mmoja chozi lilimdondoka!
Kila mmoja hakuamini kama ni mimi!
Wako walioamka kuwasha hata taa!
Kisa ni kuthibitisha kama kweli ni mimi!
Walidhani labda ni mwingine kabisa!
Wote walidai mechi za marudiano!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Swali waliloniuliza nasita kulirudia.
Maana nikilirudia mtadhani ninatamba!
Nami tambo kando zinikalie kabisa!
Mazingira nimeyajenga sasa siyo fumbo.
Fumbo silipendi maana mlengwa ni mjinga.
Nawe ni mwerevu na majibu unayo yote.
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Hivi maujuzi lazima ufunzwe na gwiji?
Hivi maujuzi huwezi kuzaliwa nayo?
Hivi maujuzi sharti ulelewe na nguli?
Hivi maujuzi si yahitaji subira subira?
Hivi maujuzi si ni kumsoma mwenzio?
Hivi maujuzi si ni kuchangamkia zabuni?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!


Merry X-Mas and a happy New year..............I love u all in equal measure, though............
hongera kwa kuwapa watoto vitu hadim hata wakiondoka wanabaki wanakukumbuka
 
kila uliyemsugua anaomba rematch maana ameona jinsi kiwango chako kilivyo cha chini, anataka mara ya pili ili aremove all doubts
 
Hii shughuli,
Bazazi qa leo chali,
Ingawa amesimamisha,
Kujiandaa qa lolote.
Ruta unakwenda wapi weye!
​
 
inaonyesha unajua kukunaeee hongera sana Vin Diesel are u massai?vinne vutafumua huko na hicho kizazi chote

usipojua kukuna basi utakuwa unajua kukunwa.....mie mkunaji mkunaji....mie sio maasai ila wale ni cha mdoli sana....
ushawahi ona vichwa vinne nivea...
 
Last edited by a moderator:
hizi tungo nyingine, zimekaa kutungatunga mimba tu, hebu nipite mbali mie
 
Back
Top Bottom