Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
Mimi sijui nilikuwa ninawafanyaje?
Mimi sikumbuki mambo yalikuwaje?
Mimi siyo kuwa najisifia hata chembe?
Mimi hii ni kumbukumbu zangu tu!
Mimi nimesahau mengi bali haya tu!
Mimi hili swali bado lanikwaza mno!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Wangelikuwa wanafahamiana ningesema..
Ya kuwa pengine wamepanga kunizuga..
Lakini wapi na wapi hawa makinda........
Kila mmoja safari yake huwa ni mpya
Na kipya lazima kiwe kinyemi kabisa......
Kama hawafahamiani mbona lao moja?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Kila mmoja chozi lilimdondoka!
Kila mmoja hakuamini kama ni mimi!
Wako walioamka kuwasha hata taa!
Kisa ni kuthibitisha kama kweli ni mimi!
Walidhani labda ni mwingine kabisa!
Wote walidai mechi za marudiano!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Swali waliloniuliza nasita kulirudia.
Maana nikilirudia mtadhani ninatamba!
Nami tambo kando zinikalie kabisa!
Mazingira nimeyajenga sasa siyo fumbo.
Fumbo silipendi maana mlengwa ni mjinga.
Nawe ni mwerevu na majibu unayo yote.
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Hivi maujuzi lazima ufunzwe na gwiji?
Hivi maujuzi huwezi kuzaliwa nayo?
Hivi maujuzi sharti ulelewe na nguli?
Hivi maujuzi si yahitaji subira subira?
Hivi maujuzi si ni kumsoma mwenzio?
Hivi maujuzi si ni kuchangamkia zabuni?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Merry X-Mas and a happy New year..............I love u all in equal measure, though............
 
BAK njoo umpe songi la best you ever had, "i dont wanna brag but i'l be, the best u v ever had..."

Merry xmas bro...wats th count now??!lol
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu Rutashubanyuma, kwani ulilenga kusema nini? Je umetuandikia wasomaji au umejiandikia? Je unaweza ukajaribu kusoma maandiko yako upya uone kinachotusumbua? Je umegundua nini? Nini dhima ya jumla ya kuandika?

Ebu heshimu hiyo signature yako basi!
 
Maujuzi kwenye mapenzi ni sawa na Utundu; na Utundu hajfundishwi ni wa kuzaliwa nao. Hakuna kitabu kilichoshushwa to kwenye space cha styles au manjonjo; it started with some people (few au many watundu aka wajuzi) ndipo wagezaji (the rest of us), tukaiga! LOL
 
Ebu heshimu hiyo signature yako basi!

Iselamagazi som apolepole...........si kila king'aacho ni dhahabu.......ujumbe siyo huo ulioko kichwani kwako..........hili ni fumbo.......
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu Rutashubanyuma, kwani ulilenga kusema nini? Je umetuandikia wasomaji au umejiandikia? Je unaweza ukajaribu kusoma maandiko yako upya uone kinachotusumbua? Je umegundua nini? Nini dhima ya jumla ya kuandika?

Father of All tambua ujumbe khalafu uandike
 
Last edited by a moderator:
Unasugulia dodoki ama sponge stone zile za mtoni?

King'asti unaona mbali sana.wachangiaji wengine wameivamia hii mada hata kabla hawajaielewa.................
 
Last edited by a moderator:
Maujuzi kwenye mapenzi ni sawa na Utundu; na Utundu hajfundishwi ni wa kuzaliwa nao. Hakuna kitabu kilichoshushwa to kwenye space cha styles au manjonjo; it started with some people (few au many watundu aka wajuzi) ndipo wagezaji (the rest of us), tukaiga! LOL

Kaunga una uhakika kila mmoja aliiga hakuna wa leo ambao wamezaliwa nayo?
 
Last edited by a moderator:
Nitatambua lini iwapo ujumbe wenye hautambuliki? By the way, umeusoma ujumbe wa Gaijin?Je umeulewaje? Je naye utamjibuje? Nisaidie kuutambua huo ujumbe lau nijue ulichotaka kuwasilisha achia mbali kuandika.
[MENTION]
Gaijin[/MENTION] kichwani hakuna kitu ndugu yangu na ndiyo maana michango yake ni hasi.............[MENTION].Father of All[/MENTION]...................Kama hufahamu si uulize kama King'asti alivyofanya..................siwezi kukueleza maana tayari umekwisha kunihukumu......Be real man!
 
Kaunga una uhakika kila mmoja aliiga hakuna wa leo ambao wamezaliwa nayo?

Watundu wanazaliwa kila siku, na pia sio wote huzaliwa watundu, hivyo waigaji wataendelea kuwepo na wagunduzi wataendelea kuwepo!

Ila choice ya maneno yako, inazidi kucomfirm my assumption...
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu Rutashubanyuma, kwani ulilenga kusema nini? Je umetuandikia wasomaji au umejiandikia? Je unaweza ukajaribu kusoma maandiko yako upya uone kinachotusumbua? Je umegundua nini? Nini dhima ya jumla ya kuandika?
come on Father of All hata miye mjukuu wako naona kilichojificha, ruta anajisifia kila mdada anayemnanihii anarudi mwenyewe kuomba re-match baada ya kupagawishwa naye LOL. umesahau kwamba kipimo #2 cha mwanaume ni utaalamu 6x6?
 
Back
Top Bottom