Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

nimependa kufikiria kwako,,, ni kweli sio lazima unachokifikiri kiwe ndicho,,
wish u same a happy christmass season n a happy new yr to come

smallvile hiyo point baadhi wanashindwa kuiona hivyo wanafikiri kwa vile nimetumia nafsi yangu basi hayo ndiyo maisha yangu na ndiyo maana wanakuja juu kumbe hii ni fasihi simulizi tu haina uhusiano na maisha yangu............lol
 
Last edited by a moderator:
safi msuguaji....
[MENTION]
King Kong III[/MENTION] ni fasihi simulizi tu haina uhusiano wowote ule na maisha yangy. Ni vyema ikaeleweka
 
lol! Mentor, Madudu ya namna hii mie huwa ni msomaji tu sipendi kabisa kutia neno.

BAK wahofu tusikujue undani wako kwenye majambozi nini?
 
Last edited by a moderator:
Merry%2BChristmas%2Beveryone%2521.jpg

Mimi sijui nilikuwa ninawafanyaje?
Mimi sikumbuki mambo yalikuwaje?
Mimi siyo kuwa najisifia hata chembe?
Mimi hii ni kumbukumbu zangu tu!
Mimi nimesahau mengi bali haya tu!
Mimi hili swali bado lanikwaza mno!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Wangelikuwa wanafahamiana ningesema..
Ya kuwa pengine wamepanga kunizuga..
Lakini wapi na wapi hawa makinda........
Kila mmoja safari yake huwa ni mpya
Na kipya lazima kiwe kinyemi kabisa......
Kama hawafahamiani mbona lao moja?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Kila mmoja chozi lilimdondoka!
Kila mmoja hakuamini kama ni mimi!
Wako walioamka kuwasha hata taa!
Kisa ni kuthibitisha kama kweli ni mimi!
Walidhani labda ni mwingine kabisa!
Wote walidai mechi za marudiano!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Swali waliloniuliza nasita kulirudia.
Maana nikilirudia mtadhani ninatamba!
Nami tambo kando zinikalie kabisa!
Mazingira nimeyajenga sasa siyo fumbo.
Fumbo silipendi maana mlengwa ni mjinga.
Nawe ni mwerevu na majibu unayo yote.
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Hivi maujuzi lazima ufunzwe na gwiji?
Hivi maujuzi huwezi kuzaliwa nayo?
Hivi maujuzi sharti ulelewe na nguli?
Hivi maujuzi si yahitaji subira subira?
Hivi maujuzi si ni kumsoma mwenzio?
Hivi maujuzi si ni kuchangamkia zabuni?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Merry X-Mas and a happy New year..............I love u all in equal measure, though............
 
Haya bana ukubwa jiwe, naona kama ungeambiwa usafirishe uliowagusa basi treni la Mwakyembe lingekuwa dogo tehe tehe.

Nakutakia X- Mas & Happy New Year nawe pia.

Mzee wa Rula umenichekesha sana na hii.......
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma huyu bwana alikuwaga mwalimu mahali fulani miaka ya nyuma sana,
alikuwa na sifa zinazoendana na utenzi wako.

Mamndenyi walengwa hapa ni lukuki.....yawezekana pia naye kaguswa bila ya mie kujua...............tatizo wengine wanafikiri nikitumia nafsi yangu najilenga mwenyewe kumbe hizi ni soga tu..................za kuburudika sote na kupunguza makali ya sonena ambazo zimezagaa kila kona.......
 
Last edited by a moderator:
nimekuelewa Rutashubanyuma, why uwe na sonena tena mwanasheria wangu, na najua nyie sio wakungojea payroll kwa kuwa mko full kujijenga kiuchumi.

Mamndenyi walengwa hapa ni lukuki.....yawezekana pia naye kaguswa bila ya mie kujua...............tatizo wengine wanafikiri nikitumia nafsi yangu najilenga mwenyewe kumbe hizi ni soga tu..................za kuburudika sote na kupunguza makali ya sonena ambazo zimezagaa kila kona.......
 
Last edited by a moderator:
Maujuzi kwenye mapenzi ni sawa na Utundu; na Utundu hajfundishwi ni wa kuzaliwa nao. Hakuna kitabu kilichoshushwa to kwenye space cha styles au manjonjo; it started with some people (few au many watundu aka wajuzi) ndipo wagezaji (the rest of us), tukaiga! LOL
kuna aina za utundu ambao mtu huzaliwa nao, lakini utundu kwenye mapenzi mara nyingi hutakiwa juhudi za ziada za kujifunza kutoka kwa manguli waliotangulia kwenye fani hiyo, na ndio maana ufanyaji mapenzi wa enzi za babu zetu ni tofauti na wa siku hizi, zamani ilikuwa mama chini baba juu, ukizaa ndio humuoni baba hadi miezi kadhaa ipite au hata mwaka! lakini ck hizi kila kitu ni tofauti, watu 'wamebuni' na wengine ' tumejifunza' kutoka kwa wabunifu hao either kwa simulizi au kwa kuangalia mikanda mbalimbali. hata ukizaliwa nao utundu lakini ili kuuboresha ni vema ukajifunza pia
 
Well said, lkn tunaassume tu kuwa wa zamani ilikuwa mende kwenda mbele, ila ninaamini walikuwa na style hata za kusimama kidesgn au kiupande pande.

Back
Top Bottom