Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Hakika nimekujua Wewe mtu wa lugha..
Kiswahili wakijua kwa kupanga mistari
Japo umesema swali mimi naaona maswali
Nami hapa niseme jibu hasa ni moja
Kwamba
Mtu hazaliwi na ujunzi bali yeye hujifunza
Mwisho
Angalia tena upime sifa zisjje kuponza
 
hivi hichi ndicho kilichobebwa na huo ushairi? Mbona mwatuchanganyaaaa???
mshairi ulisugua nini, na katika mazingira gani na kwanini??

Maujuzi kwenye mapenzi ni sawa na Utundu; na Utundu hajfundishwi ni wa kuzaliwa nao. Hakuna kitabu kilichoshushwa to kwenye space cha styles au manjonjo; it started with some people (few au many watundu aka wajuzi) ndipo wagezaji (the rest of us), tukaiga! LOL
 
hivi hichi ndicho kilichobebwa na huo ushairi? Mbona mwatuchanganyaaaa???
mshairi ulisugua nini, na katika mazingira gani na kwanini??

Mjanga Muulize Kaunga mwenyewe...............lol
 
Last edited by a moderator:
Hakika nimekujua Wewe mtu wa lugha..
Kiswahili wakijua kwa kupanga mistari
Japo umesema swali mimi naaona maswali
Nami hapa niseme jibu hasa ni moja
Kwamba
Mtu hazaliwi na ujunzi bali yeye hujifunza
Mwisho
Angalia tena upime sifa zisjje kuponza

wewe sasa nimeamini ya kuwa ni mzamifu wa shoka.............
 
Ruta...Hiyo ni asili ya huko....hakikisha tu hayo masufuria unayosugua yawe yamepikiwa Nyanya chungu kwa wingi,ili yaweke maji ya asili...angalia usiunguzwe nayo..LOL!
 
Mimi sijui nilikuwa ninawafanyaje?
Mimi sikumbuki mambo yalikuwaje?
Mimi siyo kuwa najisifia hata chembe?
Mimi hii ni kumbukumbu zangu tu!
Mimi nimesahau mengi bali haya tu!
Mimi hili swali bado lanikwaza mno!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Wangelikuwa wanafahamiana ningesema..
Ya kuwa pengine wamepanga kunizuga..
Lakini wapi na wapi hawa makinda........
Kila mmoja safari yake huwa ni mpya
Na kipya lazima kiwe kinyemi kabisa......
Kama hawafahamiani mbona lao moja?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Kila mmoja chozi lilimdondoka!
Kila mmoja hakuamini kama ni mimi!
Wako walioamka kuwasha hata taa!
Kisa ni kuthibitisha kama kweli ni mimi!
Walidhani labda ni mwingine kabisa!
Wote walidai mechi za marudiano!
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Swali waliloniuliza nasita kulirudia.
Maana nikilirudia mtadhani ninatamba!
Nami tambo kando zinikalie kabisa!
Mazingira nimeyajenga sasa siyo fumbo.
Fumbo silipendi maana mlengwa ni mjinga.
Nawe ni mwerevu na majibu unayo yote.
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Hivi maujuzi lazima ufunzwe na gwiji?
Hivi maujuzi huwezi kuzaliwa nayo?
Hivi maujuzi sharti ulelewe na nguli?
Hivi maujuzi si yahitaji subira subira?
Hivi maujuzi si ni kumsoma mwenzio?
Hivi maujuzi si ni kuchangamkia zabuni?
Lakini kila niliyemsugua aliniuliza hili!

Merry X-Mas and a happy New year..............I love u all in equal measure, though............

tatizo nyinyi kazi yenu ni kupaka rangi kucha lakini mnajifanya kuleta mbwembwe za kusugua mguu mzima!mnawatega sana wake zetu nyinyi!kumbe na wengine mnasifiwa enhe?mnataka sifa tu!uzuri ni kwamba hata wake zenu huenda kwa wapaka rangi wengine kusuguliwa!teh teh teh
 
[MENTION]
Mc Chilly Chizenga[/MENTION] Mimi nimstaafu hizi nakumbushia zilipendwa...................lol
 
Ruta...Hiyo ni asili ya huko....hakikisha tu hayo masufuria unayosugua yawe yamepikiwa Nyanya chungu kwa wingi,ili yaweke maji ya asili...angalia usiunguzwe nayo..LOL!

Kisima chetu Hii ni kali
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Rutashubanyuma

Mjanga Muulize Kaunga mwenyewe...............lol
Usikwepe, mjibu Mjanga. Mimi nimetoa kile nilichoelewa!

Kaunga Mbona Mjanga anadai hajakuelewa? Muelimishe tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom