Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Ndugu yangu ,hivi unaelewa unachokiandika hapa....mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..
Jide hakuanza kung'ara baada ya kuolewa NA G ila jide aling'ara toka nyimbo yake ya machozi na ikampa hadi tuzo S.A .kuna wimbo kama distance ni joto hadi Leo kwa ubunifu NA hakuna msanii wa kike wa leo hii ambae ana nyimbo kama hiyo....

Jide NI wa kumfananisha na stara, ray c (ambae ndio walikuwa washindani haswaa), Renee lamira na wengine kama hao NA si watoto kama ruby ama maua....

Hata kama Beyonce na rihanna wataiteka dunia ila kuwafananisha na watu kama Whitney Houston NI sawa NA tusi LA nguoni....
ONCE A QUEEN ALWAYS A QUEEN
Naona unalazimisha nyeusi kuwa nyeupe.....alafu ukumbuke sio kila siku jumapili....mwambie dada leo ni jumanne juzi ndo ilikuwa jumapili...
 
Anachokosea huyu dada na wapambe wake ni kumwelezea sana(kumsifia)kuliko kuiacha hiyo nyimbo ijielezee na kutoa taswira hali ya ujio wa jide....maana kila kukicha kazi kumsifia jide kwenye mitandao ya kijamii...swali langu hivi haya mnayofanya mnafanya na nchi jirani au mnatusumbua huku tu....kiukweli huo wimbo ni wa kawaida sana na unajionyesha jinsi gani alivyopotea na ana kazi ya ziada....kwa muziki huu hata Vanessa mdee hamsogelei....vip kuhusu yemi alade !?!....kinachotakiwa akubali tu kuwa maisha ni kupokezana kijiti na sasa kijiti chake anacho mtu mwingine....ushauri atafute kazi nyingine ya kufanya kufeli kimuziki sio kufeli maisha
Ukweli haujifichi kabisa.....una hitaji kujitoa ufahamu kabisa kusema huu wimbo ni mbaya mimi huwa sikubaliani sana na jide..lakini huu wimbo ni mzuri kabisa na kila mwenye masikio akisikia atasema kabisa!

Unahitaji kuwajasiri wa kusema uongo ili kusema wimbo huu ni mbovu!

Ni kweli muda mwingine mashabaki wa Jide humsifia kupitiliza lakini kwenye huu wimbo hawajakosea...huu wimbo ni mzuri umekamilika kila idara kuanzia production...!
 
Anachokosea huyu dada na wapambe wake ni kumwelezea sana(kumsifia)kuliko kuiacha hiyo nyimbo ijielezee na kutoa taswira hali ya ujio wa jide....maana kila kukicha kazi kumsifia jide kwenye mitandao ya kijamii...swali langu hivi haya mnayofanya mnafanya na nchi jirani au mnatusumbua huku tu....kiukweli huo wimbo ni wa kawaida sana na unajionyesha jinsi gani alivyopotea na ana kazi ya ziada....kwa muziki huu hata Vanessa mdee hamsogelei....vip kuhusu yemi alade !?!....kinachotakiwa akubali tu kuwa maisha ni kupokezana kijiti na sasa kijiti chake anacho mtu mwingine....ushauri atafute kazi nyingine ya kufanya kufeli kimuziki sio kufeli maisha

Kama hujui jide ana heshima kubwa sana NA hasa kwa majirani zetu Kenya...wimbo wa yahya ulipingwa na kuitwa mbovu humu ila angalia shows zake za Kenya alivyourudia wimbo huu kwa maombi ya mashabiki NA tuzo wakaupa.....

Historia ulipingwa sana humu ila NI kwa sababu wimbo huo NI wa watu wazima ( jide hana umri wa kuwaimbia watoto Bali watu waliopevuka NA wanaoelewa NI nini maana ya mziki)

Vee money yuko western zaidi NA anawaimbia watu wa aina yake zaidi ila jide anaimba nyimbo za watu wote.....

Talk of yemi alaide ni bomb katika Africa ila kamfananishe NA angeliq kidjo kwa watu wanaoujua mziki kama hawatakushangaa..tuuheshimu uwepo wa malegendary jamani NA NI matusi kuwalinganisha NA vitoto vidogo
 
Naona unalazimisha nyeusi kuwa nyeupe.....alafu ukumbuke sio kila siku jumapili....mwambie dada leo ni jumanne juzi ndo ilikuwa jumapili...

NI kweli siku zinabadilika na inawezekana watu wa Jana si wa Leo lakini kama watu wa Jana wapo hadi Leo bhasi NA wenyewe watakuwa NA watu wao wa kuwaburudisha kama jide .......
NInaona dhahiri wewe NI shabiki wa nyimbo kama za v money hivyo siwezi kukubadili kwa maana kizazi chako ndo kinachokutaka uwe hivyo
 
Huwezi mfananisha Jay Dee na hivi vitoto vyenu akina mdee sijui linah manpoteza mda kabisa. Jay Dee ni.level nyingine kabisa kimafaniko na kimuziki. Tuzo nje na ndani. Siyo HV vitoto vinavyokaa uchi na English nyingi ndio.muwaite the best kuliko Jay dee
 
je unafikiri wamemchukia bila sababu za msingi??? au unatiririka tuu kama maji???jd ni mkorofi, sio msikivu, mbishi, hashauriki, aliyeshindikana..hawezi kuishi na mtu yoyote bila kugombana nae, pia ni mbinafsi sana, na pia hawapendi jinsia yake(kike).So hawezi kufika mbali.. namshauri abaki kama mshauri na asifanye kazi za jumuiya afanye kazi zake binafsi.. mziki awaachie vijana wanaojua kucheza na saikolojia ya kisasa kama v money(vanessa mdee)..
Sasa kama hashauriki vipi anaweza kubaki kuwa mshauri kweli?
 
9683150d7888364381260408b4368bf3.jpg
....mnajitahidi sana kwa promo
 
jaribu kuchambua kidogo kabla ya kuchambuliwa.... jd hashauriki kwa lolote so inamlazimu awe mshauri tuu(either kwa kujenga au kubomoa)
Acha bla bla hivi mimi nakataa ushauri wako utanipa muda wa kukushauri
 
Ukitaka kujua hii nyimbo mbaya kwanza imenyimwa airtime na bila kuwekwa hapa na wapambe wake ushuzi nina huakika msinge isikia kabisa kwenye vituo vya redio.....jide anachotakiwa ni kuamini alikuwa anatembea na mataili(nyota) ya gadner....sasa haipo ajiandae kuwa mshabiki wa muziki na sio mwanamuzi....wako wapambe ambao hawakubali hili ila kwa wachambuzi wa muziki watakubaliana na mimi nyota ya jide ilianza kung'ara punde tu alipoingia kwenye maisha ya ndoa na gadner.....na hii sio tanzania tu wasanii waliopotea kwa kukosana na waume zao na ambao walikuwa wanang'ara kwa nyota za waume zao mfano mariah Carey alipotea baada ya kuachana na mmewe wa kwanza Tommy Mottola.....wote mashahidi tuliona kilichompata Mariah Carey ....

Hivi ndugu hivi kweli unafatilia muziki kweli wewe? Wimbo huu metoka lini?

Wimbo una siku ya pili halafu unasema umekosa air time? ndio kwanza hata masaa 48 bado halafu unazungumzia air time? Nafikiri ujikite kwe mambo mengine achana na mambo ya muziki!

Ni aibu kusema huu wimbo ni mbaya labda kama una lako jambo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom