Lady Jay Dee: Words aren't enough, You are huge mama

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,571
Habari wakuu....

Kila mtu anatambua "Mapinduzi ya mziki" yaliyofanyika miaka michache iliyopita...Na kwa kiasi kikubwa haya yanayoitwa mapinduzi yamechangiwa na kukua kwa matumizi ya social media..Mapinduzi haya yamewafanya wakongwe wengi kupotea na wengine kukaa pembeni kubaki kuwaangalia vijana wakipambana...

Mapinduzi haya ni kuacha kushabikia mziki mzuri na kuanza kushabikia mafanikio ya wasanii nje ya Tanzania. Na wengine wamezikabidhi akili zao Nigeria na South Africa wao ndio wawaambie upi ni mziki mzuri na upi sio mzuri. Wakikukataa hao hata utoe hit kali kiasi gani kuna baadhi ya wabongo wataponda kuwa hauchezwi SoundCity au MTV...Na wengine wakajiwekea rule mpya kuwa bila video kali hakuna ulichokifanya. Hili likawakatisha tamaa wakongwe wengi kutokana na budget kubwa inayohitajika kujitangaza kimataifa na kupata mafanikio. Wakakaa pembeni...

Na hata waliojitahidi kurudi wamekuwa wakitoa hit lakini wabongo wamekuwa wakisubiri response kutoka nigeria na south africa ili na wao wauone wimbo huo kuwa mkali...Mtu kaweka earphones masikioni simu ipo mfukoni anasikiliza mziki lakini kwa kuwa tu wimbo huo hauna video kali iliyokubalika MTV n other Africa media basi atauona mbaya..Its crazy!...

back to Jide.

This girl is something else... A true legend....A true commando...Mziki wake unamtambulisha...Na ndio maana watu wakisikia jide anatoa wimbo mpya wengi wao hawawazi kuhusu video (Ispokuwa wachache vijana wa sasa wa sekondari na vyuo), hawawazi sana kuhusu kuucheza club...Wanawaza mziki mtamu watakaousikiliza wakiwa kazini, wakiwa majumbani, wakiwa kwenye vyombo vya usafiri na mziki huo ukawateka akili wakakaa kusikiliza neno kwa neno kupata ujumbe anaoutoa..At the same time kupata burudani ya kipekee...Huyu ndio Lady Jay Dee....Wazee wenzangu tunamuelewa vizuri tangu enzi za Machozi....

Kuna mijitu mingine itauchukia mziki wa mtu kutokana na personality yake...Eti atauona mziki mbaya kisa Jide kagombana na garder, au ruge, au ..., au.........Hata kama kagombana na dunia nzima...Hili goma linaonesha huyu ni hazina kubwa Tanzania...Ni taahira tu ataafikiria kumfananisha Jide na Vanessa Mdee, au ..., au..... In short ni kuwa katika wanamuziki wa kike hakuna kama Jide...

Jide mama hata ukirekodi video ya wimbo huu kwa simu ukiwa umekaa chooni tu video nzima...Hili dude bado ni tamu balaaaaa.....

Toa video kali kwa sababu wewe pia ni mkali. Toa video kali kama zawadi kwa marafiki zako...Lakini hatutaumia video kujudge how good u are...We know you are the best mama...Jitangaze kimataifa ukipenda...Hata usipofanya hivyo bado tunaenjoy muziki wako na tunaamini hata nigeria hakuna anayekukaribia...

Words arent enough to explain how good U are...Wewe ni nyokooooooooo

NDI NDI NDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

Your homie,
Vampire hunter
 
Jide ni kiboko sana, ana vitu vingi ambavyo wengine hawana, Mungua bariki kipaji cha jide Amen
 
Wimbo wa kawaida sana,kama kuna anayepinga basi nendeni mkauchungulie Youtube baada ya siku 10 kama utakuwa umepata viewers 1m au mkito kama ina 10,000 walionunua.
 
So asipotoa video ndo audio itakuwa mbaya kabisaa au sio?. Maana inaonesha unapima quality ya audio kwa views za youtube...Mi ninao nauplay zaidi ya mara mia sasa na sijaununua mkito...Hivi kuna wanaonunuaga nyimbo kwani?
 
Hii thread ukute wote mliochangia ni ID ya mwanzisha thread, maana alisema akiandika watu wasipokoment anakoment mwenyewe kwa kutumia ID zake zingine.

Hata hii yangu ukute ni yeye pia.
 
Nakubaliana na wewe mleta bandiko kwenye mambo kadhaa hasa mabadiliko ya muziki ambayo wapuuzi wachache wanaamini yanaamini yameanza leo hawajui legends wameubeba huu muziki begani kwa muda mrefu pia ishu ya video na ubora wa nyimbo niliwahi ku-comment kwenye bandiko umu kuhusu Jide kua muziki umehamia kwenye video hawa watoto wavivu kuandika unakuta ngoma ndani ya mwezi hamu ya kuisikiliza hauna kuna mifano kibao tu.
Tatizo langu kwa Jide kubwa ni mjeuri na dharau(sitaki kuita kujiamini) hii tabia na muziki ulivyo watu wanaosikiliza ni wengi vichaa ambao wao wanashinda kwenye social networks kutukana na kushindanisha wanawake na cheni hakika dharau zitamtoa kwenye reli na lingine kubwa wote tunajua wamemalizana na G.Habash ni bora asonge mbele kusikiliza vilio vyake na kashfa kuhusu x-mume inakera pia kwangu huu wimbo mpya ni nzuri ukimeleta ukakasi baada ya kua kilio chake cha kweli ingekua ni story ya hewani naamini kwangu ungekua bora zaidi ila kujua ni kilio cha kweli kwa mtu aliepo BINAFSI imenipunguzia mzuka,nimtakie HERI kwenye kazi yake na hongera kwa kurudia kiti chake ambacho hawa mabinti wengine sijaona walichofanya kikubwa kipindi Komando kapumzika.
 
Habari wakuu....

Kila mtu anatambua "Mapinduzi ya mziki" yaliyofanyika miaka michache iliyopita...Na kwa kiasi kikubwa haya yanayoitwa mapinduzi yamechangiwa na kukua kwa matumizi ya social media..Mapinduzi haya yamewafanya wakongwe wengi kupotea na wengine kukaa pembeni kubaki kuwaangalia vijana wakipambana...

Mapinduzi haya ni kuacha kushabikia mziki mzuri na kuanza kushabikia mafanikio ya wasanii nje ya Tanzania. Na wengine wamezikabidhi akili zao Nigeria na South Africa wao ndio wawaambie upi ni mziki mzuri na upi sio mzuri. Wakikukataa hao hata utoe hit kali kiasi gani kuna baadhi ya wabongo wataponda kuwa hauchezwi SoundCity au MTV...Na wengine wakajiwekea rule mpya kuwa bila video kali hakuna ulichokifanya. Hili likawakatisha tamaa wakongwe wengi kutokana na budget kubwa inayohitajika kujitangaza kimataifa na kupata mafanikio. Wakakaa pembeni...

Na hata waliojitahidi kurudi wamekuwa wakitoa hit lakini wabongo wamekuwa wakisubiri response kutoka nigeria na south africa ili na wao wauone wimbo huo kuwa mkali...Mtu kaweka earphones masikioni simu ipo mfukoni anasikiliza mziki lakini kwa kuwa tu wimbo huo hauna video kali iliyokubalika MTV n other Africa media basi atauona mbaya..Its crazy!...

back to Jide.

This girl is something else... A true legend....A true commando...Mziki wake unamtambulisha...Na ndio maana watu wakisikia jide anatoa wimbo mpya wengi wao hawawazi kuhusu video (Ispokuwa wachache vijana wa sasa wa sekondari na vyuo), hawawazi sana kuhusu kuucheza club...Wanawaza mziki mtamu watakaousikiliza wakiwa kazini, wakiwa majumbani, wakiwa kwenye vyombo vya usafiri na mziki huo ukawateka akili wakakaa kusikiliza neno kwa neno kupata ujumbe anaoutoa..At the same time kupata burudani ya kipekee...Huyu ndio Lady Jay Dee....Wazee wenzangu tunamuelewa vizuri tangu enzi za Machozi....

Kuna mijitu mingine itauchukia mziki wa mtu kutokana na personality yake...Eti atauona mziki mbaya kisa Jide kagombana na garder, au ruge, au ..., au.........Hata kama kagombana na dunia nzima...Hili goma linaonesha huyu ni hazina kubwa Tanzania...Ni taahira tu ataafikiria kumfananisha Jide na Vanessa Mdee, au ..., au..... In short ni kuwa katika wanamuziki wa kike hakuna kama Jide...

Jide mama hata ukirekodi video ya wimbo huu kwa simu ukiwa umekaa chooni tu video nzima...Hili dude bado ni tamu balaaaaa.....

Toa video kali kwa sababu wewe pia ni mkali. Toa video kali kama zawadi kwa marafiki zako...Lakini hatutaumia video kujudge how good u are...We know you are the best mama...Jitangaze kimataifa ukipenda...Hata usipofanya hivyo bado tunaenjoy muziki wako na tunaamini hata nigeria hakuna anayekukaribia...

Words arent enough to explain how good U are...Wewe ni nyokooooooooo

NDI NDI NDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

Your homie,
Vampire hunter
Wimbo mzuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom