Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Naona video imeondolewa ...
Jide ana sauti nzuri ila amelemaa kuimba kwaya za kisabato...midundo unakuta okay akini vina vya gospel...
Akiweza tafuta mtaalamu wa kurekebisha hilo atafika mbali...aache kuimba ki kwaya kwaya...
Kwa kuwa sijausikia huu mziki sina comment...ila nina wasiwasi na la ukwaya kwaya
 
Khaaaaa...ingekuwa na madhara aisingedumu kwenye game 13+ yrz
 
DuH! Yani huo wimbo nausoma tu wala sijui unasikiliziwa wapi
 
Naona kauondoa Youtube, kwanini? Halafu huu wimbo kama kamuimba X-husband wake, lakini nataka kujua Ndi Ndi Ndi maana yake nini, au ukuni umedinda?
 
hivi Ruge na Clouds wanajisikiaje....unapojaribu kumshusha mtu alafu ukashindwa namna hii
 
Niliwahi kuweka post hapa kwamba Jaydee ana tabia ya kuwatungia nyimbo watu anaogombana nao nikatoa na mifano hai lakini #Team jide hasa wale waliokuwa wanaenda kuliwazwa na bendi yake pale Zhong hua garden karibu na Morroco waliniandama mno...!
Sasa baada ya kimya kingi na misuko suko mingi katoka na wimbo wa ndii ndii ndiii humo ni full kulialia
Alie acheke au anune sisi haituhusu as long as anatupa burudani kitu roho inapenda baaaaaaasi sisi hatuna tatizo

Pia naomba ujue muziki ni hisia, kila mtu anaimba kitu anacho feel
 
The worst you can call Jaydee song is "ya kawaida". Ila calling it "shit" that's just pure hating!! Let's keep it funky #NdiNdiNdi
 
jide siku zote muziki wake huwa ni classic, mpaka watoto wa masaki wanasikiliza nyimbo zake, sio akina shilole wanaimba utumbo then mnawashabikia na viduku vyao
 
Naona video imeondolewa ...
Jide ana sauti nzuri ila amelemaa kuimba kwaya za kisabato...midundo unakuta okay akini vina vya gospel...
Akiweza tafuta mtaalamu wa kurekebisha hilo atafika mbali...aache kuimba ki kwaya kwaya...
Kwa kuwa sijausikia huu mziki sina comment...ila nina wasiwasi na la ukwaya kwaya
Kila msanii ana mtindo wake wa kuimba, mfano tunda man ana mtindo wa kuimba huku analalamika, na anapendezea sana akibakia huko, so kwa jide pia sioni tatizo ikiwa style hyo ndo humpendeza, hata diamond halikadhalika, nyimbo zake nyngi huwa zina ladha moja
 
jide siku zote muziki wake huwa ni classic, mpaka watoto wa masaki wanasikiliza nyimbo zake, sio akina shilole wanaimba utumbo then mnawashabikia na viduku vyao
Wacha wee....maskini shilole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom