Mkuu mashine ipo mkito uko inashambuliwa kama mwizi wa viatu masjid.Mkuu ungetupia hiyo nyimbo huku. Au link ya kuipata
YouTube ipo.Mkuu ungetupia hiyo nyimbo huku. Au link ya kuipata
kama umechoka kusikiliza wacha kwan ulishikiwa bunduki mapnz yana run dunia kama utaki achaThe crown is yours mama.......
Jide haimbi wimbo ambao utausahau kirahisi maana yakikukuta lazma utautafuta NA ndio maana wimbo wake wa machozi hauifi kwa kuwa ukipigwa NI kama uliitolewa jana...
Wimbo NI mzuri sana huu kwa sauti, ala na ujumbe wake..
Nilikuwa nimeshachoka na nyimbo za wasanii wa sasa.mapenzi tuuu kama tunapeana lecture darasani na swaga zao za Nigeria..hii ni ladha ya bongo flavour..AHSANTE JIDE
SHE IS A SOUL MATE SONGTRESS
Ameanzia twitter then akamalizia insta.. Sasa Jide ha-follow mtu yoyote ata Gadna lol... Twitter huko ndio katembeza na block juu.Kweli....?wapi ameunfollow .....??
Mimi ni shabiki mkubwa wa Jide ila hii aimwachi salama. Watu wameitafsri kama dharau.Huna nyimbo kaa kimya