Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Huyo asikupotezee muda huwa ni shost yake jide.... ndo wanaozidi kumpoteza jide.... wimbo kawaida saaaana ila hiyo promo ya mashost ndo utachoka.... nafuu hata ujio wa Ally Kiba na mwana ulikua poa kuliko huu upuuzi wa nti nti nti...sijui ndo upuuzi gani.... nina hakika huu wimbo utasanda ndani ya miezi miwili.
Dua la kuku...Jide namba nyingine sio type yenu yule
 
......

Nilijua anakuja kumuweka ktk target na kumfocus Yemi Alade ambaye ameshaiteka East Africa na kiswahili. Amekuja tofauti kabisa. hii ngoma wala haifiki Kenya....
imba na wewe tukuone kumamayo mchawi mkubwa wewe...utaishia kuwanga tu na bado
 
Anachokosea huyu dada na wapambe wake ni kumwelezea sana(kumsifia)kuliko kuiacha hiyo nyimbo ijielezee na kutoa taswira hali ya ujio wa jide....maana kila kukicha kazi kumsifia jide kwenye mitandao ya kijamii...swali langu hivi haya mnayofanya mnafanya na nchi jirani au mnatusumbua huku tu....kiukweli huo wimbo ni wa kawaida sana na unajionyesha jinsi gani alivyopotea na ana kazi ya ziada....kwa muziki huu hata Vanessa mdee hamsogelei....vip kuhusu yemi alade !?!....kinachotakiwa akubali tu kuwa maisha ni kupokezana kijiti na sasa kijiti chake anacho mtu mwingine....ushauri atafute kazi nyingine ya kufanya kufeli kimuziki sio kufeli maisha
 
Nyimbo haina kichwa wala mguu...eti chizi hua haponi ..sijui mirembe nakushusha....!!?!?!?!?!....ndo umeamka tena haaaa haaaa haaa kazi kweli kweli
 
Nyimbo haina kichwa wala mguu...eti chizi hua haponi ..sijui mirembe nakushusha....!!?!?!?!?!....ndo umeamka tena haaaa haaaa haaa kazi kweli kweli
Yani im very disappointed in Jide. Mziki wa bongo flavor umefika mbali sana. Mipasho amuachie Neema ambae tulishamzoea.

Hakustahili fanya alichofanya. Ila ataelewa tu...hapa ndipo tunaponyooshana.
 
Ukitaka kujua hii nyimbo mbaya kwanza imenyimwa airtime na bila kuwekwa hapa na wapambe wake ushuzi nina huakika msinge isikia kabisa kwenye vituo vya redio.....jide anachotakiwa ni kuamini alikuwa anatembea na mataili(nyota) ya gadner....sasa haipo ajiandae kuwa mshabiki wa muziki na sio mwanamuzi....wako wapambe ambao hawakubali hili ila kwa wachambuzi wa muziki watakubaliana na mimi nyota ya jide ilianza kung'ara punde tu alipoingia kwenye maisha ya ndoa na gadner.....na hii sio tanzania tu wasanii waliopotea kwa kukosana na waume zao na ambao walikuwa wanang'ara kwa nyota za waume zao mfano mariah Carey alipotea baada ya kuachana na mmewe wa kwanza Tommy Mottola.....wote mashahidi tuliona kilichompata Mariah Carey ....
 
imba na wewe tukuone kumamayo mchawi mkubwa wewe...utaishia kuwanga tu na bado
Kwa haya matusi una kila sababu ya kuwa shabiki yake jide maana ndege wafananao huruka pamoja.... ila ikweli ni kuwa promo ni kubwa luliko wimbo wenyewe... nakupa miezi miwili huu wimbo utakua kapuni..... haujafika hata nusu ya forever....
 
hawa wana kazi maalumu humu ndani(jamii forum)tazama hizi id tunazohangaika nazo kuwaambia ukweli wamejiunga lini ndo utajua....
 
Ukitaka kujua hii nyimbo mbaya kwanza imenyimwa airtime na bila kuwekwa hapa na wapambe wake ushuzi nina huakika msinge isikia kabisa kwenye vituo vya redio.....jide anachotakiwa ni kuamini alikuwa anatembea na mataili(nyota) ya gadner....sasa haipo ajiandae kuwa mshabiki wa muziki na sio mwanamuzi....wako wapambe ambao hawakubali hili ila kwa wachambuzi wa muziki watakubaliana na mimi nyota ya jide ilianza kung'ara punde tu alipoingia kwenye maisha ya ndoa na gadner.....na hii sio tanzania tu wasanii waliopotea kwa kukosana na waume zao na ambao walikuwa wanang'ara kwa nyota za waume zao mfano mariah Carey alipotea baada ya kuachana na mmewe wa kwanza Tommy Mottola.....wote mashahidi tuliona kilichompata Mariah Carey ....
Kuliko kuandika gazeti....

Wimbo kama mbaya ni bora kupiga kimya na kuupotezea Chifu..
 
hawa wana kazi maalumu humu ndani(jamii forum)tazama hizi id tunazohangaika nazo kuwaambia ukweli wamejiunga lini ndo utajua....
....ukiona wanatoa povu ujue ujumbe umefika... hata wao wanajua kuwa wimbo wa kawaida ila wanajaribu kulazimiaha watu waupende...kazi kwelikweli... watu wa jf na insta ukishawaelewa hata hawakupi taabu maana kama ni degree za unafiki wanazo tele..
 
Kuliko kuandika gazeti....

Wimbo kama mbaya ni bora kupiga kimya na kuupotezea Chifu..
Unanifundisha cha kuongea huwa unaniwekea bando!?....si mmeweka hapa na mnasifia kuwa mzuri basi tulia na sisi tuueleze kuwa mbaya.....@balantanda
 
Watu wa Imani wanasema jua lisizame kabla ujapata na mwenzio.... Ila najiuliza ni roho ngapi ambazo zinafanya kazi katika redio maarufu apa DAR Zilivyozamishwa Kutenda zambi ya kumchukia mwanamuziki huyu na kumpa nafasi ya katika iyo redio kupiga nyimbo zake......YOTE YATAPITA NA MWISHO WA SIKU NI HUKUMU.... NACHOSEMA MANENO YA WAZI KWA WAHUSIKA WA IYO REDIO KILA JAMBO LINA MWISHO WAKE....ATUWEZI ONA UFALME WA MUNGU KWA JINSI HII...........

ATALAANIWA AFANYAE JAMBO BAYA KUMUUZUNISHA BINADAMU MWENZIE.........................
je unafikiri wamemchukia bila sababu za msingi??? au unatiririka tuu kama maji???jd ni mkorofi, sio msikivu, mbishi, hashauriki, aliyeshindikana..hawezi kuishi na mtu yoyote bila kugombana nae, pia ni mbinafsi sana, na pia hawapendi jinsia yake(kike).So hawezi kufika mbali.. namshauri abaki kama mshauri na asifanye kazi za jumuiya afanye kazi zake binafsi.. mziki awaachie vijana wanaojua kucheza na saikolojia ya kisasa kama v money(vanessa mdee)..
 
Tz ina vituo 100 vya Redio au vi 2 tu??
kuwa na vituo vingi vya redio sio sababu... jaribu kushirikisha ubongo wa mbelee.. wimbo wako kupigwa redioni haikusaidii chochote..kwa mziki wa leo show ndio zinakutoa..pia hizo station nyingine ni ndogo na hazina nguvu kiivyo ni sawa kuna watu 100 then watu 98(redio nyinginezo) ni masikini wa kutupa na hawana msaada na watu 2(clouds na radio x..) ndio watajiri wakubwa wenye uwezo wa kukunyanyua na kukufikisha kilele cha mafanikio..kifupi hata wimbo wako ukipigwa mara elfu kwenye baadhi ya redio haikuingizii chochote zaidi ya kusikika..tunahitaji mapinduzi..
 
Ukitaka kujua hii nyimbo mbaya kwanza imenyimwa airtime na bila kuwekwa hapa na wapambe wake ushuzi nina huakika msinge isikia kabisa kwenye vituo vya redio.....jide anachotakiwa ni kuamini alikuwa anatembea na mataili(nyota) ya gadner....sasa haipo ajiandae kuwa mshabiki wa muziki na sio mwanamuzi....wako wapambe ambao hawakubali hili ila kwa wachambuzi wa muziki watakubaliana na mimi nyota ya jide ilianza kung'ara punde tu alipoingia kwenye maisha ya ndoa na gadner.....na hii sio tanzania tu wasanii waliopotea kwa kukosana na waume zao na ambao walikuwa wanang'ara kwa nyota za waume zao mfano mariah Carey alipotea baada ya kuachana na mmewe wa kwanza Tommy Mottola.....wote mashahidi tuliona kilichompata Mariah Carey ....

Ndugu yangu ,hivi unaelewa unachokiandika hapa....mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..
Jide hakuanza kung'ara baada ya kuolewa NA G ila jide aling'ara toka nyimbo yake ya machozi na ikampa hadi tuzo S.A .kuna wimbo kama distance ni joto hadi Leo kwa ubunifu NA hakuna msanii wa kike wa leo hii ambae ana nyimbo kama hiyo....

Jide NI wa kumfananisha na stara, ray c (ambae ndio walikuwa washindani haswaa), Renee lamira na wengine kama hao NA si watoto kama ruby ama maua....

Hata kama Beyonce na rihanna wataiteka dunia ila kuwafananisha na watu kama Whitney Houston NI sawa NA tusi LA nguoni....
ONCE A QUEEN ALWAYS A QUEEN
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom