Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

kwani lini gadna alikuwa juu,yeye ni mtu normal na watu tulikuwa tunamkubali kabla hajahongwa na huyo kibibi ili awe naye,huyo kibibi wenu anajua fika kabisa bila kumuua gadna hawezi kupata attention kwa watu,siku hz kuna wakali kama kina rubi,sio huyo ajuza
Mfa maji#team DVD
 
Nikwambie nini kuhusu wewe wkt sikufahamu??
Mie naongelea wasaliti who take other people for granted. Kama wewe mmoja wapo ulishasaliti wait for your karma
Mbona waongea kwa ukali hivyo wakati tunaenda pole pole Tu hapa Boss
 
Mbna wasanii wengi wa unyamwezini wanakamua kama alivyo imba jide,kama mna kumbukumbu nzuri,kuna mwimbo alimba jlo-love dont cost a thing...alimwimbia puffy dad...so kwa jay dee ndio inaonekana haifai
 
Hapo utatoa mifano mpka ya marehemu team DVD n wagumu kuamin kama mwenyekit wao kaondoka na box tu
 
Naomba mwenye video ya huu wimbo anitumie whatsap nitatuma namba PM
 
Lol nahisi Gadner akiangalia hii video ya Jide Amalia sana
 
Video mwishoni naona marioo anapaki mizigo anasepa. sio dogo hilo kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom