Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Watu wa Imani wanasema jua lisizame kabla ujapata na mwenzio.... Ila najiuliza ni roho ngapi ambazo zinafanya kazi katika redio maarufu apa DAR Zilivyozamishwa Kutenda zambi ya kumchukia mwanamuziki huyu na kumpa nafasi ya katika iyo redio kupiga nyimbo zake......YOTE YATAPITA NA MWISHO WA SIKU NI HUKUMU.... NACHOSEMA MANENO YA WAZI KWA WAHUSIKA WA IYO REDIO KILA JAMBO LINA MWISHO WAKE....ATUWEZI ONA UFALME WA MUNGU KWA JINSI HII...........

ATALAANIWA AFANYAE JAMBO BAYA KUMUUZUNISHA BINADAMU MWENZIE.........................
 
Roho ya kishetan katika ubora wake
Wewe roho yako iliyo ya kimalaika iko wapi? Kwani ni lazima wote tufanane? Ni haki yangu kuchangia hoja. Sijamtukana mtu so mkuu uwe na lugha nyepesi usipandikize watu mapepo
 
Ni majungu tu na vijembe kwa mtalaka wake. Kwanini asimuvu tu ahead na life lake. wimbo mzuri beat safi sauti nzuri illa ujumbe umeharibu. Akina Maua et.al wataendelea kukukimbiza dada
hiv unajielewa wewe? hao akina maua ndo wadudu gani? kama vanesa mwenyew hawezi kumvaa jide sembuse hao vitoto vya juzi, ebu kuwa na adabu mbweha wewe...
 
Mimi huwa natofautiana sana tena sana kwenye mambo mengi na Jide lakini linapokuja swala la kuimba hapo ndipo hunishinda kabisa!

Sasa kwenye hii Tobiii ndi ndi ndi...kaniacha hoi kabisa nimemkubali hakika nimejikuta nausikiliza kila muda!

Hongera Jide..
 
Alivyosema anaamka tena alimaanisha, huyu mwanamke ni kiboko, ana vitu vya aina yake, kumshusha itahitaji kazi ya ziada...hatumii nguvu kuimba
 
Mimi huwa natofautiana sana tena sana kwenye mambo mengi na Jide lakini linapokuja swala la kuimba hapo ndipo hunishinda kabisa!

Sasa kwenye hii Tobiii ndi ndi ndi...kaniacha hoi kabisa nimemkubali hakika nimejikuta nausikiliza kila muda!

Hongera Jide..
Rutta mwambie waiter akuongezee nyingne
 
983e1f33aff893c148948af95b5b0192.jpg

don't forget to tune in EFM kesho" #NdiNdiNdi
 
hiv unajielewa wewe? hao akina maua ndo wadudu gani? kama vanesa mwenyew hawezi kumvaa jide sembuse hao vitoto vya juzi, ebu kuwa na adabu mbweha wewe...
Umejaa mihemko
...huwezi elewa nimeandika nini?
 
Umejaa mihemko
...huwezi elewa nimeandika nini?
Huyo asikupotezee muda huwa ni shost yake jide.... ndo wanaozidi kumpoteza jide.... wimbo kawaida saaaana ila hiyo promo ya mashost ndo utachoka.... nafuu hata ujio wa Ally Kiba na mwana ulikua poa kuliko huu upuuzi wa nti nti nti...sijui ndo upuuzi gani.... nina hakika huu wimbo utasanda ndani ya miezi miwili.
 
Na ni bora angeimba msg tofauti kuliko kuendelea mganda mtalaka wake. Nini maana ya ku take time to heal..... huyu hajapona bado.Nimemdharau sana jide licha ya kwamba namkubali sana.
 
Hakuna anayekataa uwezo wake.... ni msanii mkali ila kwa wimbo huu nampa pole.... mziki wa bongo umebadilika sana ukizubaa watoto wanakukalisha ma ukongwe wako.
 
......

Nilijua anakuja kumuweka ktk target na kumfocus Yemi Alade ambaye ameshaiteka East Africa na kiswahili. Amekuja tofauti kabisa. hii ngoma wala haifiki Kenya....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom