Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Hivi ndugu Mtitu hivi kweli unafatilia muziki kweli wewe? Wimbo huu metoka lini?

Wimbo una siku ya pili halafu unasema umekosa air time? ndio kwanza hata masaa 48 bado halafu unazungumzia air time? Nafikiri ujikite kwe filamu na kupambana na wakina Steps achana na mambo ya muziki!

Ni aibu kusema huu wimbo ni mbaya labda kama una lako jambo!
Kama unataka kujua naitwa nani wasiliana na uongozi wa jamii forum watakwambia naitwa nani.....heshima ni kitu cha bure tubishane kwa hoja na kama huna hoja ya kutetea unachokiamini unaweza ukanyamaza....hata ukikaa kimya watu watajua uwepo wako
 
Hivi ndugu hivi kweli unafatilia muziki kweli wewe? Wimbo huu metoka lini?

Wimbo una siku ya pili halafu unasema umekosa air time? ndio kwanza hata masaa 48 bado halafu unazungumzia air time? Nafikiri ujikite kwe mambo mengine achana na mambo ya muziki!

Ni aibu kusema huu wimbo ni mbaya labda kama una lako jambo!
Nina mwaswali kwako....
1.kwanini unailazimisha niamini hii nyimbo nzuri ?
2.kwanini mnatumia nguvu kubwa kushawishi tuamini hii nyimbo nzuri?
3.kwanini msiache wasikilizaji waamue kuhusu hii nyimbo?
 
Mwisho kabisa naongea au nachangia hapa kile ninachokijua siko kwa ajili ya kumchukia mtu coz sili kwa jeydee wala silali kwa jeydee.....so usinilazimishe niongee au nichangie unachakipenda wewe....mimi naamini mleta mada ameleta hapa ili kila mtu azungumze kwa jinsi alivyoisikiliza hiyo nyimbo na haya ninayochangia ni kwa jinsi nilivyoisikia hiyo nyimbo kwa upande wangu na jinsi ninavyomjua jeydee hii nyimbo MBAYA so huwezi kunilazimisha niseme NZURI....ndio maana kuna suruali na kaptura zote zinawateja wake....
 
bb8b9bf75d58d22ddd960953f7f27cdf.jpg
 
Nina mwaswali kwako....
1.kwanini unailazimisha niamini hii nyimbo nzuri ?
2.kwanini mnatumia nguvu kubwa kushawishi tuamini hii nyimbo nzuri?
3.kwanini msiache wasikilizaji waamue kuhusu hii nyimbo?

Hakuna aliye kulazimisha! Na wewe kwanini unalazimisha wimbo huu ni mbaya?

Nguvu gani unayo iongelea? Kinacho fanyika kwa Jide ndicho hufanyika kwa wasanii karibu wote wakitoa nyimbo lazima wazipe promo..

Kama ni swala la wasikilizaji kuamua imekuwaje wewe ndani ya masaa 24....useme wimbo haujapata air time? Pitia huu uzi na useme! Kwanini na wewe usiwaache wasikilizaji wasiamue...?
 
Namba 2 hapo kakulazimisha nan?
 
Basi kama unayajua hayo niache nisimamie ninachoamini na wewe simamia unachoamini....I think yameisha mkuu.
 
Niliwahi kuweka post hapa kwamba Jaydee ana tabia ya kuwatungia nyimbo watu anaogombana nao nikatoa na mifano hai lakini #Team jide hasa wale waliokuwa wanaenda kuliwazwa na bendi yake pale Zhong hua garden karibu na Morroco waliniandama mno...!
Sasa baada ya kimya kingi na misuko suko mingi katoka na wimbo wa ndii ndii ndiii humo ni full kulialia
 
Mkuu nilijua unakuja na kitu cha unajimu kumbe unadili na haya mambo mi team flank!!!!
 
Ndi ndi ndi Gardner umeniacha,ndi ndi ndi moyo wangu unalia, ndi ndi ndi ,nashindwa kuvumiliaaaaa,naona alitamani kuimba hvyo ila akajikaza,ndi ndi ndi
 
Reality ina noga sana kusikiliza.... Ndi ndi ndi....... Ni tamuje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom