Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

kama umechoka kusikiliza wacha kwan ulishikiwa bunduki mapnz yana run dunia kama utaki acha
Sorry, wee ni Imam yule wa 10 nje 10 ndani mkuu au ni icon tu umetumia kiongozi...?.
 
kama umechoka kusikiliza wacha kwan ulishikiwa bunduki mapnz yana run dunia kama utaki acha

Usimquote mtu kwa sababu unaweza kuquote ila quote kama una kitu cha maana cha kuquote.....
Umekurupuka kuniquote bila kuelewa mantiki ya comment yangu

Si ajabu jide alianza kuimba kabla hata mama yako hajapata wazo LA kukuzaa lakini sasa umepata smartphone unajiona mjuzi wa mambo..... Kahangaike NA watoto wenzio maana huu Uzi si levo yako
 
this lady is amazing....sauti haina mikwaruzo very soft kama celin dion,nice song inafaa kusikiliza ukiwa na stress unatafuta faraja.
 
Bado yupo vzr dada yetu.Hongera zake.
 
Lady J dee ni msanii mkubwa ambaye amejijengea jina kubwa Afrika mashariki,lakini hana budi kubadili style yake ya mziki kuendana na kasi iliyopo by the way namtakia kila la kheri
 
Baada ya kutoa wimbo mpya Jide achafua hewa.


Watu baada ya kumpokea kwa mikono miwili wageuka nakuanza kumshambulia baada ya kuwa unfollow watu wote nakutembeza block kwa watu mbalimbali ikiwemo mastaa wenzie.

Aijaeleweka kwa nini kafanya hivyo ila wadau wanasema anatumia style ya Kiba ambayo alirudi nayo ya kuunfollow kila mtu na ukizingatia Jide pia anasimamiwa na Seven wa Rockstar ambaye ni meneja wa Kiba.


Watu wametishia kufuta nyimbo walizo download.

Jide inabidi awe makini na vitu vinavyoweza kumletea picha mbaya maana mpaka hapo ana makovu mengi sana anaitaji sana watu.

Mods sijaona mantiki ya kuunganisha huu uzi hapa uzi haikuhusu wimbo wa Jide bali Jide kuunfollow watu kwenye social media. Huu ujuaji sio mzuri labda kama nyie ndio mlioanza kazi juzi. Cc Invisible
 
Nyimbo nzuri,ila mwisho wake utaishia hapa kama bado ataendelea nao ( eti wewe ni msanii tena wabongo hii hii halafu unasema mimi ni timu fulani )Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba
Imekuchoma eeh?
Ndio keshasema sasa,jinyonge basi!
Nchi huru hii,kuwa shabiki wa msanii fulani ni uhuru wa mtu binafsi bila kujali yeye ni nani.
 
Jide umeimba vizuri. ...kuna mtu amekushtua.

Zaman ulikuwa unasound kama unaimba kwaya.

Good song Good Come back be blessed
 
Imekuchoma eeh?
Ndio keshasema sasa,jinyonge basi!
Nchi huru hii,kuwa shabiki wa msanii fulani ni uhuru wa mtu binafsi bila kujali yeye ni nani.
Inanichomaje hadi nijinyonge kwa mfano, hayo ni mawazo yangu na si sheria wala biblia au msahafu ni juu yake/yako kuyaamini au kutokuyaamini. Hebu tuyaache hayo, vipi mimba feki imeishia wapi ??? ( mimba ya wema a.k.a bosi wako na wewe kama " wema replies" jina unalotumia Instagram, siamini kama utanuna kama ulivyoninunia na leo bahati mbaya ume quote )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom