Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Tanzania tuna uhaba mkubwa wa mastaa yaan jaydee akikaa kimya tu hamna kinachoendelea wanabaki sijui kina shilole ndo wanateka soko.. Hongera jaydee kwa ngoma kali
Wakawaida sanaWa kawaida tu! It's not one of her best!
Angalia vizuri....!Ameanzia twitter then akamalizia insta.. Sasa Jide ha-follow mtu yoyote ata Gadna lol... Twitter huko ndio katembeza na block juu.
Mwenyewe anajijua kwamba alilala, yaani wewe ukilala hujitambui mpaka uambiwe kuwa umelala?Naona Jide anatumia nguvu kubwa sana kurudi. Mbona tu kama angetoa singo ya kueleweka watu wangetambua tu. Oooh naamka tena, nani alisema amelala?
Wa kawaida tu! It's not one of her best!
Kanyimbo kamsweet bana, tatizo ruge akibana na marioo akikaza efm... ndio tutakasahau hivoo...
But managed to catch your attentioni was expecting better than this ze ndi ndi ndi.
very true i am among her fan. I can rate this song as a warm up before the coming big bangBut managed to catch your attention