Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Nilijua ni Biashara tu...kila mtu anapost...zimebaki sijuwi siku...Leo nimebahatika kuskiza nyimbo yake mpya... ni tamu sanaaa....
Leo Lady Jaydee ameachia wimbo wake mpya baada ya kimya cha muda mrefu. Wimbo inaitwa Ndi ndi ndi ndi ndi ndi..
Uzuri ni kwamba amepokelewa vizuri sana na mashabiki mitandaoni.. Kwenye wimbo wake Jide amesimama kwenye muziki wake watu waliompendea ameepuka mtego unaowapoteza wengi wa "jaribu kuendana na soko" amesimama tena Malkia wa East Africa.
Jide kaonyesha ni kwa nini ata wasiompenda hawana jinsi zaidi ya kupenda muziki wake.
Jide kashindikana ata wale walio mwambia aachie kijiti awajui watampokonyaje kijiti chake na wakimpokonya bado haonekani wa kukipokea.
Bila kichupa wala mizengwe kazi ndio imemsimamisha tena.
Asante Sana Anaconda kwa kuamka na kupaa kwa mpigo.