Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Gadna bonge la gentleman..pamoja na mabaya yake kuwa exposed na madam ndi ndi ndi ye hajataka kulipa ubaya kwa ubaya kwa kumu expose madam!!! Siamini kwamba Judith hana makosa ila ndo hivyo jamaa kachukua CD zake anasikilizia kwenye "garrrri" alodhaminiwa na baba Juju na Shubi
 
legendary nani?? kwi kwi kwi kweli wewe umeishiwa mkuu, uliza gadner katambulika kwa ajil ya nani mbuzi wewe, acha shobo dund utapigwa mashine

Si ndo hapo sasa!!
Na #watazioga! Album nzima ishakamilika yaani #HuuMchezoHauhitajiHasira

Kuna watu wanatamani sana kumuona Jide kafulia kisa mahaba yao kwa Gadner.....jamani hahahaa!
 
mmh sababu siangali nyuma na sitorudi nyuma ndi ndi ndi kumekucha milembe nimekushusha nageti limefungwa naondoka ndindindi ebwanaeeee
 
Kweli mkuu cjui gardener anajiskiaje baada ya kuamgalia hii video

Mimi hii nyimbo plus video yake nimeipenda sana. Kuna majamaa yananyanyasa wake zao yaani unakuta jamaa linamtimua mke wake mchana kweupe anaondoka bila hata kikombe wala hela ya nauli dadeeeki mwenzao sasa katoka na dvd tu chezea komando!

Licha ya kuwa na gadner anaguswa lakini huu wimbo unagusa wengi tu.
 
sana na ndo mana ukifuatili comments nyingi kwenye huu Uzi wengi wanaponda ndo utaamini team vitonga wako wengi mjini
 
mmh sababu siangali nyuma na sitorudi nyuma ndi ndi ndi kumekucha milembe nimekushusha nageti limefungwa naondoka ndindindi ebwanaeeee
Nimekupuuza kuliko kiwango nilichowahi kupuuza kiumbe chochote, nimekuibia una cha kuibiwa?!
Nashukuru mmemaliza bifu lenu, nyie wanaume wadar no sheedaaaar, hata sasa kanyaga twende
 
Huyu Dada sio wa kushuka Leo wala keshooo team DVD Kazi wanayooo .. Huumchezohauhitajihasira teamkuziogaaa

Hata wale wanaomtukanaga eti mgumba, sijui ana sura mbaya mara oooh bibi mzee keshakwisha......wapite kule na box la mawazo yao machafu! Komando agonga ki ndi ndi ndiii tu full kuenjoy!
Alaaaa kwanini tunyimane raha buana khaaa!
 
mademu wengi wameipenda hii video, sijaelewa wameipenda coz ni kali au sababu kuna kidume kapondwa
 
inanikumbusa sir nature aka kibla aka kirobo kwenye wimbo wake wa sitaki demu (sinta). kuna kipande anaimba "kama we ni msanii basi nenda kalipize kwenye tv". watu wanaumia kweli!!!!
 
Hiv unajua choz la kike?,ni la siku baada ya hapo akisahau kasahau ona jide alivyopendeza......gadna ndo kachoka sasa kukimbia mpka e fm kisa ze ndii ndii...hahaaaaaaa
Kachoka umemuona lini? au ndio habari ya kusikia. Wewe ulimuona Gadner lini akisema au kulalamika hovyo kuhusu Jide. Yupo kwenye fani yake ya utangazaji Clouds FM. Wamesha achana mahakamani, kila mtu kala kona yake, ila mmoja wapo bado ajakubaliana na hali halisi.Huyo anayelalamika kupitia muziki.............. 'Huu mchezo hauitaji HASIRA'
 
We ulitakaje idumu muda gani kwan? It's normal nyimbo zinapita! Km Sera ya kuachiana vijiti anaihubiri ruge nae awape kijiti E FM! Au mkuki kwa nguruwe! Kwa taarifa yako hii nyimbo itamshusha gadna na jahazi lake! Mmesumbua watu xana, #huu mchezo hautaki hasira#

kwani lini gadna alikuwa juu,yeye ni mtu normal na watu tulikuwa tunamkubali kabla hajahongwa na huyo kibibi ili awe naye,huyo kibibi wenu anajua fika kabisa bila kumuua gadna hawezi kupata attention kwa watu,siku hz kuna wakali kama kina rubi,sio huyo ajuza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom