nwakamwaikambo
Member
- Mar 27, 2016
- 21
- 16
Jay dee hatari sana huyu dada
Gadna kajipotezea mwenyewe muda na ndo muige mfano angevumilia na mkew kutafuta maisha yasingemkuta haya.....Jide ni jipuu. Mara kadhaa mapenzi yanamuumiza yeye tuu haoni kuwa ana matatizi? Ameimba nyimbo nyingi sana za kuumizwa. Hata hivo gadna kapotezewa tyme yake haswaa na mambo mengi ya kimaisha, huyu dada sio kabisaa
the ndii ndiisasa hivi umefanyaje?Nitacomment pindi nitakapo iona.
Angevumilia na mke gani?Gadna kajipotezea mwenyewe muda na ndo muige mfano angevumilia na mkew kutafuta maisha yasingemkuta haya.....![]()
the ndii ndii
Anamsaidia gadna kupanga cd geto!sasa hivi umefanyaje?
Ndindindi= I am something & toli= your nothing. ...ufafanuzi zaidi angalia Friday night muda huu
Mperuz gadna naona humjui zaid ya kwa jide! Alitelekeza mke na mtt kisa jide wacha machoz ya mkew yafanye kaziAngevumilia na mke gani?
ze ndii ndiiSijui may be ila gadna alikosea sana kuwa na huyu mwanamke. Akaacha kazi akamfata jde hadi kwenye diary anazunguka nae. Leo hii wameachana jamaa karudi kazini. Atubu na awe na akili ajue wanawake sio kwa kucheza nao dakika mbili tuu future kwishaMperuz gadna naona humjui zaid ya kwa jide! Alitelekeza mke na mtt kisa jide wacha machoz ya mkew yafanye kazize ndii ndii
Kwa umbeya wewe ni namba mojaMperuz gadna naona humjui zaid ya kwa jide! Alitelekeza mke na mtt kisa jide wacha machoz ya mkew yafanye kazize ndii ndii
Kati ya Jide na Gadna nani choz limetiririka sana?Mperuz gadna naona humjui zaid ya kwa jide! Alitelekeza mke na mtt kisa jide wacha machoz ya mkew yafanye kazize ndii ndii
Hiv unajua choz la kike?,ni la siku baada ya hapo akisahau kasahau ona jide alivyopendeza......gadna ndo kachoka sasa kukimbia mpka e fm kisa ze ndii ndii...hahaaaaaaaKati ya Jide na Gadna nani choz limetiririka sana?
Khaaaaaaaa jide alimkuta gadna kapuku mchuuz wa samak mwanza! U can't change ua background sasa hiv tuko ze ndii ndiiSijui may be ila gadna alikosea sana kuwa na huyu mwanamke. Akaacha kazi akamfata jde hadi kwenye diary anazunguka nae. Leo hii wameachana jamaa karudi kazini. Atubu na awe na akili ajue wanawake sio kwa kucheza nao dakika mbili tuu future kwisha
Wanaume wa dar ndo mnapenda kitongaaaa fanyen kazi chaaaa wote mmekuwa mamodel ..waimbaji chaaaa na tutawea na tutawabwaga tu hmna namnaWanawake wakimiliki mali nyng zaid Ya mume au boy wake inakuaga tatizo sana wanapenda watukuzwe
Umeongea vizuri sana,hivi kwenye ile kesi yao mahakama iliamuaje,maana Gadna anahitaji fidia amepotezewa muda sana, na pia kwa kuchuma mali alishiriki kwa kiasi fulani ana certain percent ya mchango wake...Sijui may be ila gadna alikosea sana kuwa na huyu mwanamke. Akaacha kazi akamfata jde hadi kwenye diary anazunguka nae. Leo hii wameachana jamaa karudi kazini. Atubu na awe na akili ajue wanawake sio kwa kucheza nao dakika mbili tuu future kwisha