kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,578
- 18,952
NimeshapoaPole
NimeshapoaPole
Dua la kuku #team clouds polenhuyu mwanamke kweli kafulia,anatafuta kick kupitia gadna,naipa hii nyimbo miezi miwili tu kwishnei
Dua la kuku #team clouds polen
legendary nani?? kwi kwi kwi kweli wewe umeishiwa mkuu, uliza gadner katambulika kwa ajil ya nani mbuzi wewe, acha shobo dund utapigwa mashinenarudia tena mkuu,hii nyimbo hakika itaishia kujadiliwa humu humu tu,huyu mwanamke hana kitu,zama zake zishakwisha ndio maana anatafuta kick kupitia legendary gadna,huyu bibi akakojoe akalale tu na kulialia kwake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbuka mmeambulia dvd tu sasa sijui yeye na nyie nani hana kitu! Jide pa kukojolea anapo! Si kabaki na mali zake sasa nyie/gadna atakojoa kwenye zile box ama choo cha manispaa.??....!!!!narudia tena mkuu,hii nyimbo hakika itaishia kujadiliwa humu humu tu,huyu mwanamke hana kitu,zama zake zishakwisha ndio maana anatafuta kick kupitia legendary gadna,huyu bibi akakojoe akalale tu na kulialia kwake
Acha chuki binafsi looh... Team Ruge utawajua tuuuuhuyu mwanamke kweli kafulia,anatafuta kick kupitia gadna,naipa hii nyimbo miezi miwili tu kwishnei
Gardener katika ubora wako[emoji12] [emoji12] [emoji12] Ndi ndi ndi mpaka mtaama mjinarudia tena mkuu,hii nyimbo hakika itaishia kujadiliwa humu humu tu,huyu mwanamke hana kitu,zama zake zishakwisha ndio maana anatafuta kick kupitia legendary gadna,huyu bibi akakojoe akalale tu na kulialia kwake
Kweli mkuu cjui gardener anajiskiaje baada ya kuamgalia hii videoWanaume tutafute vyetu ukitegemea vya wanawake kuna siku utadhalilika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno kuntuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbuka mmeambulia dvd tu sasa sijui yeye na nyie nani hana kitu! Jide pa kukojolea anapo! Si kabaki na mali zake sasa nyie/gadna atakojoa kwenye zile box ama choo cha manispaa.??....!!!!
Huyu dada haishagi kinyongo maisha yake ki mziki ni kulalamika tu kutwa ye analo la rohoni,we angalia mambo anayoimba mfano:ile truck siku hazigandi,na hii ndo ndo ndo.. analalamika tu kama unampenda gadner mrudiane bhana ndi ndi ndi ndi ndi...A!
Wewe ney sio hivyo, sometime turudini kwenye ubinadamu tuache ushabiki,Kwa mwanaume anayependa kitonga tena mtu mzima lazima video imuume! Haswa nasikitika pale itakapokuwa inapigwa mnakimbilia kuzima tv .....ze ndii ndii # team gadna #team DVD polen?
Ndii-mimi ni kituNisaindieni Ndi ndi ndi maana yake nini maana katika wimbo nimependa sauti maana yake halisi zero
We ulitakaje idumu muda gani kwan? It's normal nyimbo zinapita! Km Sera ya kuachiana vijiti anaihubiri ruge nae awape kijiti E FM! Au mkuki kwa nguruwe! Kwa taarifa yako hii nyimbo itamshusha gadna na jahazi lake! Mmesumbua watu xana, #huu mchezo hautaki hasira#narudia tena mkuu,hii nyimbo hakika itaishia kujadiliwa humu humu tu,huyu mwanamke hana kitu,zama zake zishakwisha ndio maana anatafuta kick kupitia legendary gadna,huyu bibi akakojoe akalale tu na kulialia kwake