Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

kumbuka mmeambulia dvd tu sasa sijui yeye na nyie nani hana kitu! Jide pa kukojolea anapo! Si kabaki na mali zake sasa nyie/gadna atakojoa kwenye zile box ama choo cha manispaa.??....!!!!

teh teh teh,hivi huyo ajuza kawalipa sh.ngapi?
 
Wimbo mzuri na video tamu sana,hata alivyokuwa anahojiwa na kujibu alikuwa yuko makini sana na anajua kujieleza. Hiyo ya kumpiga "dongo" Gadna lipo wazi kabisa kwenye hiyo video yake. Gadna hayupo ziro kiasi cha kujuta sana, ana maisha yake si mabaya japo muda alioutumia kwa Jide ndio atakao kuwa anaujutia na kuna vitu kachuma nae lakini Gadna kapotezea tu. Hii inaonyesha kuwa kumbe bado Jide ana kilio cha kuachana. Inaonyesha Gadna alijitolea jumla kwa Jide ( kumbuka alikuwa meneja wake sijui walikuwa wanafanyaje kwenye malipo) wakati Jide yeye alikuwa anamuangalia kwenye saiti mira tu.
Kwa Gadner, life goes on, no matter watu watasema nini.......... Yupo zake Clouds Fm
 
kwani lini gadna alikuwa juu,yeye ni mtu normal na watu tulikuwa tunamkubali kabla hajahongwa na huyo kibibi ili awe naye,huyo kibibi wenu anajua fika kabisa bila kumuua gadna hawezi kupata attention kwa watu,siku hz kuna wakali kama kina rubi,sio huyo ajuza

Uajuza mnaujua wewe na wenzako tu mkuu.
Jide sio upepo wa msimu mazee.

Hahahaa alafu mkuu utani wako sio mzuri ujue!
Yaani Rubi nae ndo unamfananishia kwa Jaydee??
Hata Vanessa tu bado saaaana haijalishi huyo Rubi anakubamba kiasi!
 
Kipenda roho mkuu... Kama kakugusa bora uvumilie maana ndo kwaanza alfajiri ya the ndindindi... Au sikiliza mawingu mwanzo mwisho huko hauta msikia....

teh teh teh teh,hc huyo ajuza anajua kuimba sana eeeh?????,mi nikimweka na vanessa tu namwona ni kama ardhi na mbingu vile,kachoka huyo,ale pesa zake tu zikiisha akajiuze kwa mababu wa kitasha kule mbefele
 
Uajuza mnaujua wewe na wenzako tu mkuu.
Jide sio upepo wa msimu mazee.

Hahahaa alafu mkuu utani wako sio mzuri ujue!
Yaani Rubi nae ndo unamfananishia kwa Jaydee??
Hata Vanessa tu bado saaaana haijalishi huyo Rubi anakubamba kiasi!

hihihihiiiiiiiii,ujue we mkuu una utani sana,yaani huyo ajuza hakuna hata mmojawapo kati ya uliowataja anayekaribiana naye kiuwezo,kibibi kimechoka hicho kinalazimisha tu game,halafu nahisi kama wewe ndo huyo ajuza vile,kashakuwa wa mchangani huyo,vanessa ni wa kimataifa
 
JD mpolee anafanya mzki kisha anajitambua anajiheshimu pia ana experience ya cku nyingi hawawzi kulingana na hawa wanao ibuka sasa iv wamkubalitu Dada yetu hana skendo za ajabu cio mkamilifu ila anawazd kwa mazur
 
teh teh teh teh,hc huyo ajuza anajua kuimba sana eeeh?????,mi nikimweka na vanessa tu namwona ni kama ardhi na mbingu vile,kachoka huyo,ale pesa zake tu zikiisha akajiuze kwa mababu wa kitasha kule mbefele
Utaonekana mwanga bure... Bora ukae kimya tu.... Kila unapo hesabu sekunde moja ndo umri unavyo zidi sogea... Na ashukuriwe Mungu kama Jide anapata bahati ya kuitwa ajuza... Huku mitaani kila siku tunawazika vijana. Maisha anayatafuta yeye wewe umpangie!!!
 
teh teh teh teh,hc huyo ajuza anajua kuimba sana eeeh?????,mi nikimweka na vanessa tu namwona ni kama ardhi na mbingu vile,kachoka huyo,ale pesa zake tu zikiisha akajiuze kwa mababu wa kitasha kule mbefele

Mwanzoni nilihisi labda kiukweli hujaipenda tu coz kila mtu na mapenzi yake na mtazamo wake. But kwa hii comment mi naona we anti- jide una hate tu heheheee endelea kusubiri afulie ndo usherehekee sijui mwaka gani!!

For your info watu kama nyie na maneno yenu ni kama kinyesi cha ng'ombe shambani (natanguliza samahani kama huu mfano utakukera). Kinamwagwa shambani ili mazao yastawi vizuri!
As hata ua halihitaji kumwagiliwa maziwa ili likuwe vizuri.

Like yule jamaa wa mawingu efemee alivyomfungia nyimbo zake mawinguni alidhani anamkomoa jide kumbe ndo kwaaanza anampa hasira ya nini afanye ili atoboze zaidi....chezea akili kubwa!
Hilo linamhusu sana! Jamaa kabeba dvd yake ila movie bado inasomeka kama kawa. Utaipenda tu JaydeeNation
 
hihihihiiiiiiiii,ujue we mkuu una utani sana,yaani huyo ajuza hakuna hata mmojawapo kati ya uliowataja anayekaribiana naye kiuwezo,kibibi kimechoka hicho kinalazimisha tu game,halafu nahisi kama wewe ndo huyo ajuza vile,kashakuwa wa mchangani huyo,vanessa ni wa kimataifa

Kwa chuki, kwa moyo....utaipendaa utaipendaa utaipendaa!!!

Hivi yule mama wa mafikizolo na Jaydee wanatofauti eee???!!
Inshort vibibi ndio vyenyewe sasa tena inabidi uvihemu we mjukuu usije ukakosa kikoi cha kumzawadia mwali wako bure! Lol
 
Wimbo mzuri na video tamu sana,hata alivyokuwa anahojiwa na kujibu alikuwa yuko makini sana na anajua kujieleza. Hiyo ya kumpiga "dongo" Gadna lipo wazi kabisa kwenye hiyo video yake. Gadna hayupo ziro kiasi cha kujuta sana, ana maisha yake si mabaya japo muda alioutumia kwa Jide ndio atakao kuwa anaujutia na kuna vitu kachuma nae lakini Gadna kapotezea tu. Hii inaonyesha kuwa kumbe bado Jide ana kilio cha kuachana. Inaonyesha Gadna alijitolea jumla kwa Jide ( kumbuka alikuwa meneja wake sijui walikuwa wanafanyaje kwenye malipo) wakati Jide yeye alikuwa anamuangalia kwenye saiti mira tu.
I like this... Gadner ni MWANAUME.... A REAL MAN.... na hakuna kitu kibaya kama mbaya wako anakuwinda..anakuletea fyokofyoko alafu wampotezea... anajiona choo.. yanni GADNER 3 JIDE 0.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom