Judy ni mwanamke flani mwenye tabia ambazo hakuna gentleman ataweza kuvumilia,ataishia kuoata wanaume marioo siku zotee km hatobadilika..kwanza alimuiba Gadna kwa mwanamke mwenzie akategemea anaweza kumfanya awe wake milele kwa kumpa pesa na mali hatimae ikawa kinyume ,kwa ufupi ni mwanamke mkalii,mbabe ana wivu uliopitiliza ana maukorofi ya kikurya ya huko kwao rorya na mbaya zaidi nu mtu wa kutarajia makubwa mnoo kutoka kwa mwenzi wake huku yy binafsi akisahau kasoro alizonazo,yani ana tabia km za Queen Nzinga na ndiyo maana anaumizwa na mapenzi ,anasahau hata awe na pesa Kiasi gani siku zote mke lazima awe mwanamke sio tu kwa maumbile lakini pia kwa maneno na matendo na tabia pia...asipobadilika ataishia kulia lia kny nyimbo zake kila siku huku akitaka kuaminisha jamii kuwa yy si mkosaji....na atalia mpk utimilifu wa dahari,loooh mwanamke ana kisasi utasema mfannyabiashara wa madin