bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,997
Kumbe we Gardner ndo unatumia hii ID eee, ntakuwa nakufatilia, Yan mtu uvunjike kiss unamkimbia mtuJide style yake kila anapotoa albam au nyimbo Ni kutafuta huruma kwa wananchi. Kila Mara anawachezea watu akili kwamba yeye Ni victim. Style yake Ni kuwapaka wenzie matope ili apate kiki lakini wenye akili tumeshtuka. Mwanzo kina Joe Kusaga na Ruge, sasa hivi X-husband, sasa albam nyingine sijui atakuwa nani? Muogopeni huyu mama kama ukoma, hata akikutongoza Kimbia mpaka mguu uvunjike.